Baligh Hamdi Mafuriko ya muziki ya kiarabu

Baligh Hamdi Mafuriko ya muziki ya kiarabu

  Sambamba na maadhimisho ya Ushindi wa Oktoba, tarehe inatukumbusha kwa mtu bora zaidi na mwenye umuhimu  na Kazi ya zamani zaidi  kwa ushindi wa Oktoba, naye ni mwenye ufasaha, "Baligh Hamdi,

Aliyenufaishia Idhaa ya Kiarabu kwa Melodie siyo mahaba tu lakini pia nyimbo za kitaifa zenye shauku na wimbo wa " ya habibti ya Masr" unaojulikana zaidi kati zao" iliyoimbwa na Msanii Shadya na " ala alrababa baghani" kwa msanii Warda Algazaarya,kuhusu Uzalendo wake mkali na ushindi wa Oktoba, inasemekana kuwa Baligh Hamdi alipojua kuwa Wanajeshi wa kimisri wanapigana na wanakaribia kuvuka, alikimbilia kwa majengo ya utangazaji wa redio ya kimisri, lakini alizuiwa kuingia;

Kwani yeye siye mojawapo wa Wafanyakazi, akapiga simu na rafiki yake  Wagdi Alhakeem katika wakati uleule  na alimwambia " nitakushtakia katika kituo cha polisi kwa sababu unanizuia kuingia ili kucheza wimbo wa uzalendo kwa nchi yangu, na wa kwanza alikuwa anajua kiasi cha mapenzi ya Baligh kwa Misri, kwa hivyo alifahamisha Hisia zake mkali na alicheka na atoa amri kwa vikosi vya usalama kuruhusu Baligh ili kuingia majengo na Redio ya nyimbo ilianza kwa sauti kubwa kila mahali kwa wimbo  wenye maarufu "basm Allah"  Ambao bado inatusisimua na kuhamisha hisia zetu hadi leo.

Baligh alizaliwa katika mtaa wa Shobra huko Kairo mnamo Oktoba 7, 1931.

alijua kucheza chombo cha muziki alipokuwa katika umri wa tisa, kisha alisoma asili / za muziki katika shule ya Abdelhafeez mbele ya Muziki ya Mashariki, Darwesh Al Hariri alimfundisha na alikuwa na ufadhili kumjua "Moshahat wa Kiarabu ", baadaye alianza kusoma katika kitivo cha a muziki wa Kiarabu " Chuo  cha Muziki ya Kiarabu , Chuo cha Fouad Alawal hapo zamani" pamoja na masomo yake katika Kitivo cha Sheria, Chuo Kikuu cha Kairo .aliaga Dunia mnamo Septemba 12, 1993 katika umri wa 64,aliacha utajiri thamani wa muziki kwa urithi mzima wa Kiarabu. 

Baligh Hamdi alikuwa mtu wa kwanza aliyeingiza sauti za kibinadamu katika tarehe ya muziki ya kiarabu Katika muktadha wa wimbo wenyewe kuelezea tamthilia ya asili  alikuwa mtu wa kwanza aliyetashwishi Sayari ya Mashariki  " Om Khalthom" kwa kutumia chombo kilichoitwa kama " okradyon" katika mojawapo ya muziki zake, ingawa Om Khalthom alikataa sana wazo hili

Alisema anakemea kwa Baligh : " okradyon ni nini inanicheza muziki nayo" 

Vilevile chombo hicho hakipindi katika wakati huu kwa sababu kiliambatana na Bendi maarufu, lakini baada ya Baligh alifanikiwa kumtashwishi , tunaona wimbo "Sira Alhoob" ilibakia katika urithi wa nyimbo na nafsi ya Kiarabu.

Mwanamuziki wa vizazi alifanikiwa kuunda  aina  mpya katika miondoko ya Kiarabu, labda na kwa matumaini hii itathibitisha ujuzi "Albaleegh" wa Ubunifu katika Uwanja wa muziki na upekee wake, katika umri wake mdogo, na alikuwa Mtunzi wa kwanza katika kizazi cha miaka ya sitini "Om Kalthoum" anaimba melodies zake katika matamasha yake maarufu ya redio, hiyo iliingia urithi wa muziki wa Kiarabu kutoka Milango iking'aa kwa taa, na mojawapo yao wimbo wa " hakm alena alhawa". uliandikwa na Abdelwahab Mohamed, na wimbo huu ulikuwa wimbo wa mwisho uliimbwa na sayari ya Mashariki " Om Khalthom".

Ingawa urafiki mkubwa uliounganishwa  kati yake na Abdelhaleem Hafez. Aliyekuwa rafiki wa umri wake katika wakati uleule., lakini mwanzo wake haukuwa pamoja naye, lakini "Alandaleeb" katika wakati huu alifanya kazi pamoja na watu wawili maarufu na bora zaidi nao ni Al Tawil na Al Mugi, kazi zake za mwanzo  zilikuwa pamoja na sauti mbili za wanawake, Walipata umaarufu baadaye kama Nyimbo za kusisimua za kitaifa na ni za mwimbaji "Fayza Ahmed" na mwimbaji "Faida Kamil". Baligh Hamdi alitunga nyimbo mbili "mathbesh blshakl da" na "hasdak almok"na  nyimbo hizo mbili zilifanikiwa sana. hadi Baligh Hamdi aliwekwa katika kichwa cha orodha Watunzi wakumbwa zaidi.

na baadaye alitoa Melodies zake za kwanza kwa Alandaleeb mwaka wa 1957. Wimbo " tkhonoh"  ukituondoka  na alitoa Melodie mbalimbali katika nyimbo za Alandaleeb kama "gana alhawa" na "alhawa hawaya" iliandikwa na Marehemu Abdul Rahman Al- Abnodi.

Melodies za Baligh Hamdi zilijulikana kama aina zake mbalimbali na urahisi wake ulimfanya Mtu yeyote anayefurahia muziki, anaweza Kutofautisha Melodies zake kwa wepesi kati ya makumi ya Melodies nyingine, Na kwa kutaja wingi tu. Baligh Hamdi alikuwa na michango ya Dua za kidini. Dua zenye maarufu zaidi kwa sheikh "Alnaashabndi", " Mawlai", "mawlai ini bbabk". Maarufu kwa dua hizo mbili.

 "Mwanamuziki wa vizazi" na "Albolbl" tunaona kuwa hakuna mtu mwenye maarifa kama yeye, na kam itakuwaje!? Kuwa aina zake za ubunifu hazifupishi Melodies za mahaba, uzalendo, na kidini tu, bali aliimbia nyimbo za watoto na hakusahau na alitunga nyimbo mojawapo ya nyimbo zilizojulikana zaidi ni "Ana andi baghbaghan" iliimbwa na Warda.

Mwishoni,  tangu mwanzo wa ndoto tangu kuanzishwa kwake hadi mwisho wa maisha ambao haupo kwa muda mrefu , juu ya moyo uliochoka, tangu shairi la kwanza hadi ukimya wa Mwimbaji.

Baligh Hamdi akawa akiimba kwa ajili ya  watu, maisha na nchi

"ya habibiti ya Masr na tangu hatua ya kwanza katika nchi ya shauku, nyimbo iliyosubiri wapendwa hadi hatua ya mwisho katika ardhi ya ukimya na "Albaleegh" Anakumbatiana na kunong'ona na kuimba masikioni mwa usiku " bawdak bawadak aldonia maak"

Vyanzo :

Mfululizo wa Visa vifupi kutoka Daftari ya Al Baligh.

Insha ya Madaah Al Kamar kwa Muhamed El Refarii.