Waziri Mkuu akutana na wawakilishi wa Vijana wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa

Waziri Mkuu akutana na wawakilishi wa Vijana wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa
Waziri Mkuu akutana na wawakilishi wa Vijana wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa

 Waziri Mkuu, Dkt. Mostafa Madbouly alikaribisha ujumbe wa wawakilishi  wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa uliongozwa na Mratibu mkuu wa Udhamini huo Hassan Ghazaly kwa mahudhurio ya Waziri wa Vijana na Michezo Dkt. Ashraf Sobhy, Na Dkt. Mostafa Madbouly aliwakaribisha vijana wanaoshiriki katika Udhamini huo, akisisitiza kuwa Misri inajivunia kuwapokea viongozi wa vijana kutoka mabara matatu katika muktadha wa Udhamini, akiashiria ujali mkubwa uliohakikishwa na viongozi na maafisa  Duniani; kuwawezesha vijana katika nyanja mbalimbali za maisha na kuwashirikisha katika maamuzi, akiongeza kuwa vijana wakawa na nafasi kubwa zaidi kuliko wakati wowote uliopita ya kushika nafasi za uongozi.

Na kwa upande wake, Madbouly aliwaomba washiriki kuongeza faida kutoka uzoefu wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi, akiashiria kuwa vijana wa Misri mnamo enzi ya Rais El-Sisi wanapata msaada haujawahi kutokea, Na pia akiashiria kuwa muunganiko wa ustaarabu na tamaduni tofauti uzoefu wa maisha na kazi wa washiriki, vilevile aliwataka vijana wanaoshiriki kuwa Mabalozi wa Misri katika nchi zao, akiwapendeza kujadili juhudi zinazotekelezwa kwa nchi ya Misri ; ili kuhakikisha maendeleo makubwa katika nchi, pamoja na kutekeleza miradi ya maendeleo inayolenga kuweka Misri katika ngazi ya nchi zilizoendelea na kuwasilisha picha hiyo chanya ya Misri mnamo kipindi chao cha kukaa nchini Misri , mkutano wao na Maafisa na ziara zao za kiraia.

Waziri wa Vijana na Michezo pia aliashiria kuwa Udhamini huo uliacha hisia chanya kwa Vijana wanaoshiriki kuhusu uzoefu wa kipekee wa Misri, na kujua kwa karibu kuhusu mafanikio ya Misri ya kipindi kilichopita, na ilikuja kutia moyo sana kuendelea kuandaa Udhamini huo mnamo mustakabali.

 Na mwishoni mwa mkutano Waziri Mkuu aliwakaribisha na kueleza fahari yake mara tena Vijana wanaoshiriki katika Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa, akitamani Udhamini uwe njia ya kuhakikisha malengo yao, na alihitimisha hotuba yake akisema: Mustakabali ni kwenu.