kuheshima Familia za Mashahidi wa nchi, walioshahidiwa katika nchi za kiafrika miongoni mwa Udhamini wa " Nasser kwa Uongozi wa kiafrika"

kuheshima Familia za Mashahidi wa nchi, walioshahidiwa katika nchi za kiafrika miongoni mwa  Udhamini wa " Nasser kwa Uongozi wa kiafrika"
kulingana na matukio ya siku ya nane toka ' Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa kiafrika" kwa kushirikiana na mkutano wa kiutamaduni wa tatu unaoundwa kwa Jeshi kwa ujumbe mwafrika unaoshiriki katika Udhamini wa Nasser kwa Uongozi ,huandaa sherehe ili kuheshima familia za mashahidi wa nchi, waliokifa katika nchi za kiafrika nao ni ; Mshahidi Montasr Hassan Abaas, na Kapteni Sabry Muhamed Ahmed.
Na hayo yote yalikuja mnamo matukio ya siku ya nane toka Udhamini wa " Nasser kwa Uongozi wa kiafrika" uliotolewa kwa Wizara ya vijana na michezo ( Ofisi ya vijana waafrika, na Idara kuu kwa Bunge na Elimu ya kiraia) chini ya uangalifu wa Dokta Mustafa Madbuly " Waziri mkuu" mnamo kipindi cha 8 hadi 22 Juni huu 2019, kwa kushirikiana na Shirikisho la vijana waafrika.