Omba Sasa ... udhamini wa Nyerere

MAOMBI KWA AWAMU YA KWANZA YA PROGRAMU YA MWALIMU NYERERE PAN-AFRICAN YOUNG LEADERS FELLOWSHIP SASA YAMEFUNGULIWA!
Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF) inawaalika Viongozi Vijana wa Kiafrika kutoka maeneo mbalimbali barani Afrika kutuma maombi ya kujiunga na awamu ya 1 ya Mwalimu Nyerere Pan-African Young Leaders Fellowship, itakayofanyika kuanzia tarehe 25-30 Novemba, 2022 jijini Dar es Salaam.
Tarehe ya mwisho ya kutuma maombi: 10 Novemba, 2022.
Tuma maombi Sasa kupitia https://nyererefoundation.org/nyererefellowship