Omba sasa kwa : Nafasi ya kushinda 100,000 $ na kuhudhuria Kongamano lijalo la Hali ya Hewa wa COP27

Omba sasa kwa : Nafasi ya kushinda 100,000 $ na kuhudhuria Kongamano lijalo la Hali ya Hewa wa COP27

Ikiwa mnatafutia nafasi ya kushinda 100,000 $,pamoja  na fursa ya kuwasilisha kazi yako katika (COP27) basi makampuni ya «Degital Artist» na «Tick Start App» yako hapa kwa ajili yenu, ama  kuhusu (Clima Tech Run 2022) ni shindano la wavumbuzi na wasanii wanaojali kuhusu sayari ya Dunia na wanapambana na mabadiliko ya hali ya hewa.

Basi, ikiwa mnadhani mnayo kile inastahiki, sasa ombeni kwenye kiungo kifuatacho:

  https://www.climatechrun.com

Ambapo shindano la "Clima Tech Run" hutenga zawadi pekee kwa kampuni zinazoanza na wasanii bora wa Kiafrika!

Tarehe ya mwisho: Septemba 22, 2022