Siku ya Majeshi ya Maji ya Misri

Siku ya Majeshi ya Maji ya Misri

Imetafsiriwa na/ Mariem El-Hosseny
Imeharirwa na/ Mervat Sakr 

Leo, majeshi ya kijeshi huadhimisha kumbukumbu ya miaka hamsini na mbili ya vikosi vya majini, sambamba na Oktoba 21, inayoambatana na maadhimisho makubwa, wanaume wa jeshi la majini la Misri waliyofanya kitendo cha kishujaa, ambacho ni kuzama kwa Eilat ya uharibifu (Oktoba 1967), wiki kadhaa baada ya vita vya 1967, na utekelezaji wa vitendo vingi vya kishujaa wakati wa vita vya attrition na Vita vya Oktoba, iliyobadilisha dhana na mikakati ya vita vya kisasa vya majini.

(Kwenye Picha: Kikundi cha Misri cha vyura wa kibinadamu kilichofanya mashambulizi ya mabomu katika bandari ya Eilat, meli ya Beit Sheva na meli ya kubeba wanajeshi Bat Yam mwaka 1969).


Mratibu wa lugha ya kiswahili/ Tasneem Hamdy