Kumbukumbu ya Uhuru wa Tunisia .... Historia ya Mapambano ya Wananchi wa Ardhi ya Kijani

Kumbukumbu ya Uhuru wa Tunisia .... Historia ya Mapambano ya Wananchi wa Ardhi ya Kijani

Imefasiriwa na / Nourhan Khaled Eid

Mnamo 1881, Tunisia imetawaliwa na ulinzi wa Kifaransa, na hatua kwa hatua ulinzi huo ukawa  ukoloni  ambapo Ufaransa unajaribu kupora nchi na kuchukua rasilimali zake zote, kudhibiti raia wa Tunisia kwa njia ya kupambana upinzani huo, Mauaji mengi, na damu za Mashahidi hawa zimemwagiwa kwa ajili ya ukombozi wa nchi, na hata Ufaransa ulielewa kuwa haukuwa na uwepo huko tena, na majaribio yake yote ya kuidhibiti yameshindwa. 


Wakati ukombozi wenye upinzani wa silaha wa raia wa Tunisia umesababisha uharibifu mkubwa kwa Jeshi la Ufaransa, na Ufaransa umeanza kuhojiana kuhusu kuipa Tunisia Uhuru wake wa ndani, na kweli Uhuru wa ndani kwa Tunisia ulitangazwa mnamo Julai 31, mwaka wa 1954, lakini Uamuzi huo haukubaliwa na uongozi wa kiraia unaoombea Uhuru kamili . 

Kulingana na  mahojian mara tena yaliyofanyika, pande  hizo mbili, serikali ya mazungumzo ya Tunisia kwa uongozi wa Al-Habib Bourguiba na Serikali ya Ufaransa, yamekubalikwa kutangaza uhuru kamili kwa Tunisia  mnamo  Mechi 20, 1956.

Na kwa upande wa Misri na Tunisia , mahusiano kati yao yako na nguvu na ushikamano  kwa pande zote, haswa pamoja na uwepo wa muktadha kadhaa za pamoja, zilizochukuliwa na nchi hizo mbili katika mambo yanayohusiana na masuala ya Kiarabu na Kiafrika, pia uungaji mkono kati ya nchi hizo mbili katika mashirika mbalimbali za kikanda na kimataifa, na vilevile mahusiano hayo yanayorejesha kwa enzi za kijadi na pia yenye mizizi ya Kihistoria tangu  mwendo ya Fatimidn na Kairouan mjini Kario, na safari za Ahaliyin kutoka kusini mwa Misri hadi Tunisia,  na hayo yote kweli yamesababisha kuchanganya tabia ya Mmisri na Mtunisia.

 Heri ya Kumbukumbu ya Uhuru kwa watu wa Tunisia.