Siku ya Historia

Siku ya Historia

Imeandikwa na/ Menna Abdallah

 Kwenye siku saba mwezi Julai kila mwaka, tunasherehekea  Siku ya Kiswahili duniani, lakini kwa nini tarehe hii maalumu? Je, asili ya jina lake ni nini? Je, ni vipengele vipi vya kuadhimisha huko barani Afrika, haya yatatujua .

   Asili ya tarehe saba saba ilikuwa kuundwa kwa Chama cha Tanganika African National Union (TANU) kwenye tarehe 7 Julai ya mwaka 1954, ambapo Chama hicho kilichongozwa na Julius Nyerere ( Rais wa zamani wa Tanzania)  hiki kilikuwa Chama cha Utawala wa kipindi cha Uhuru wa Tanganika ( Tanzania kwa sasa), na aliendelea kuongoza  nchi. Ama mnamo mwaka 1963, Nyerere aliamua na viongozi wa chama kwa alihamia nchi katika mfumo wa sheria wa chama kimoja ,kwa hivyo mnamo mwaka 1964, tarehe ya kuanzisha kwa chama hicho ilijumisha katika sheria ya Sikukuu za Umma.

   Mnamo mwaka 2022,UNECO imezindua  Siku ya Saba Saba kama Siku ya Kiswahili duniani, itakayoadimishwa kila kila tarehe 7, mwezi Julai kuanzia 2022, inafaa kukumbuka kuwa Umoja wa Mataifa uliadhimisha Siku ya Kiswahili duniani chini ya  kauli mbiu “Kiswahili  kwa Amani na Ustawi”.

   Kuna vipengele vingi vya kuadhimisha Siku ya kiswahili duniani, kuhusu nchini Tanzania na Kenya, na ni kama ifuatavyo: 

Kufanya makongamano na semina za kuzungumzia umuhimu wa   Kiswahili katika utamaduni, elimu na maendeleo ya kiuchumi, na kufanya mashindano na shughuli za kielimu huandaliwa kwa ajili ya kukuza matumizi ya lugha ya Kiswahili.  Na vilevile Uchapishaji na Vyombo vya Habari, ambapo nyenzo za elimu na utamaduni huchapishwa kupitia vyombo vya habari vya ndani na vya kielektroniki ili kuangazia lugha ya Kiswahili na nafasi yake katika jamii.

     Na pia kufanya matukio ya  kitamaduni kama vile maonesho  ambayo yanaangazia sanaa za kijadi na za kisasa zinazohusiana na waswahili, na watu kwenda nje katika maandamano ya barabarani katika maeneo tofauti kuelezea fahari ya watu katika lugha na tamaduni zao.
 Huvaa mavazi ya kitamaduni wakati wa sherehe, ambayo huakisi urithi wao wa kitamaduni na kudhihirisha fahari ya utambulisho wa waswahili.

  Umoja wa Mataifa umechangia kwa kiasi kikubwa katika Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani kwa kuunga mkono juhudi za kukuza lugha hii ya Kiswahili kimataifa. Vipengele vinavyojumuishwa ni pamoja na:

Kuongeza Ufahamu: Umoja wa Mataifa  husaidia katika kuelimisha watu kuhusu umuhimu na matumizi ya Kiswahili kama lugha ya kimataifa.

Kusaidia Utafiti na Maendeleo: Wanasaidia katika utafiti wa lugha ya Kiswahili na maendeleo ya rasilimali kama kamusi na sarufi.

Kuwezesha Mawasiliano: Wanahamasisha matumizi ya Kiswahili katika mawasiliano rasmi ya kimataifa na kati ya mataifa wanachama.

Kusaidia Elimu: Wanaweza kusaidia katika kutoa mafunzo na kuendeleza kozi za Kiswahili kwa wafanyakazi wao na umma kwa ujumla.

Kwa ujumla, Umoja wa Mataifa  umekuwa na jukumu lililo muhimu katika kukuza na kulinda lugha ya Kiswahili kama mojawapo ya lugha za kimataifa na inayokuwa haraka duniani.

     Nchi mbalimbali duniani zinasherehekea Siku ya Kiswahili Duniani kwa njia mbalimbali, zikiangazia umuhimu na utamaduni wa lugha ya Kiswahili. Baadhi ya njia wanazoweza kutumia ni pamoja na:

Matamasha na Maonesho: Kuandaa matamasha, maonesho ya kitamaduni, na shughuli za kitamaduni zinazojumuisha lugha ya Kiswahili.

   Kufanya makongamano na semina za kuzungumzia umuhimu wa  Kiswahili katika utamaduni, elimu na maendeleo ya kiuchumi, na kufanya mashindano na shughuli za kielimu huandaliwa kwa ajili ya kukuza matumizi ya lugha ya Kiswahili.  Na vilevile Uchapishaji na Vyombo vya Habari, ambapo nyenzo za elimu na utamaduni huchapishwa kupitia vyombo vya habari vya ndani na vya kielektroniki ili kuangazia lugha ya Kiswahili na nafasi yake katika jamii.

  Pia kufanya matukio ya  kitamaduni kama vile maonesho  ambayo yanaangazia sanaa za kijadi na za kisasa zinazohusiana na waswahili, na watu kwenda nje katika maandamano ya barabarani katika maeneo tofauti kuelezea fahari ya watu katika lugha na tamaduni zao.

 Huvaa mavazi ya kitamaduni wakati wa sherehe, ambayo huakisi urithi wao wa kitamaduni na kudhihirisha fahari ya utambulisho wa waswahili.

    Umoja wa Mataifa umechangia kwa kiasi kikubwa katika Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani kwa kuunga mkono juhudi za kukuza lugha hii ya Kiswahili kimataifa. Vipengele vinavyojumuishwa ni pamoja na:
Kuongeza Ufahamu: Umoja wa Mataifa  husaidia katika kuelimisha watu kuhusu umuhimu na matumizi ya Kiswahili kama lugha ya kimataifa.

Kusaidia Utafiti na Maendeleo: Wanasaidia katika utafiti wa lugha ya Kiswahili na maendeleo ya rasilimali kama kamusi na sarufi.

Kuwezesha Mawasiliano: Wanahamasisha matumizi ya Kiswahili katika mawasiliano rasmi ya kimataifa na kati ya mataifa wanachama.

Kusaidia Elimu: Wanaweza kusaidia katika kutoa mafunzo na kuendeleza kozi za Kiswahili kwa wafanyakazi wao na umma kwa ujumla.

Kwa ujumla, Umoja wa Mataifa umekuwa na jukumu lililo muhimu katika kukuza na kulinda lugha ya Kiswahili kama mojawapo ya lugha za kimataifa na inayokuwa haraka duniani.

  Nchi mbalimbali duniani zinasherehekea Siku ya Kiswahili Duniani kwa njia mbalimbali, zikiangazia umuhimu na utamaduni wa lugha ya Kiswahili. Baadhi ya njia wanazoweza kutumia ni pamoja na:

Matamasha na Maonesho: Kuandaa matamasha, maonesho ya kitamaduni, na shughuli za kitamaduni zinazojumuisha lugha ya Kiswahili.

Mihadhara na Majadiliano: Kufanya mihadhara, majadiliano, na semina kuhusu historia, maendeleo, na matumizi ya Kiswahili.

Makongamano: Kuandaa makongamano ya kimataifa au ya kitaifa kuhusu Kiswahili na athari zake kimataifa.

Kuanzisha Warsha na Mafunzo: Kutoa warsha na mafunzo kuhusu uandishi, tafsiri, au ufasiri wa Kiswahili.
Maonesho ya Filamu na Utamaduni: kuonesha filamu, maonesho ya sanaa, au maandamano ya utamaduni yanayohusiana na Kiswahili.

    Kwa kuwa Kiswahili kinapanuka kimataifa, sherehe hizi zinachangia kuhamasisha uelewa na kukuza heshima ya lugha hii muhimu katika jamii za kimataifa. Vipengele hivi vyote  vinaonesha fahari ya jamii katika utamaduni wake na kuongeza ufahamu wa umuhimu wa lugha ya Kiswahili kama lugha ya kitaifa na ya kimataifa.

“Umefika wakati wa kuacha kutumia lugha ya Ukoloni.” Kudumisha Kiswahili hadi leo ni kielelezo cha uzingatiaji wa wazungumzaji wake kwenye chimbuko la lugha yao ya kale na ufahamu wao kuhusu thamani ya lugha yao pia ushahidi wa kushindwa kwa mkoloni kufuta utambulisho wa Mwafrika bado watu wapo hai na lugha yao ingali lugha hai.