Siku ya Kimataifa ya Sayansi kwa Imani na Maendeleo

Siku ya Kimataifa ya Sayansi kwa Imani na Maendeleo

Imetafsiriwa na/ Ahmed Salama 
Imehaririwa na/ Nourhan Khaled  

Mwananthropolojia maarufu Levi Strauss anasema kuwa jukumu la sayansi haipaswi kuwa tu kuwawezesha watu kukua na kujikweza, bali inapaswa kuwasaidia kuwaunganisha na kuwawezesha wale waliopotea kuwafuata.


Mnamo Novemba10, 2001, UNESCO iliidhinisha tarehe hiyo  kuwa Siku ya Kimataifa ya Sayansi kwa ajili ya Amani na Maendeleo. Tangu wakati huo, mradi huu umetoa mtazamo wa kipekee kwa Utafiti wa Amani na Maendeleo ulimwenguni, na leo inachukuliwa kuwa fursa nzuri inayotokana na miradi na programu nyingi za kisayansi, na pia kutafuta njia za kufadhili nyanja za sayansi ulimwenguni kote.


Mratibu wa lugha ya kiswahili/ Tasneem Hamdy