Siku ya Kimataifa ya Kidemokrasia

Imetafsiriwa na/ Mahmoud Ragab
Imehaririwa na kukaguliwa na/ Fatma Elsayed
Mali ya demokrasia halisi sio tu katika kura za uchaguzi, lakini katika ufahamu wa watu.
Tarehe 15 Septemba ni Siku ya Kimataifa ya kidemokrasia, kama Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilivyoidhinishwa mwaka 2007. Na siku hii ni fursa ya kuonyesha hali ya demokrasia duniani, kama mazingira muhimu ya kulinda haki za binadamu, na kipengele kimsingi cha kuhakikisha amani na maendeleo endelevu.
Mratibu wa lugha ya kiswahili/ Tasneem Hamdy