Quett Masire..Mmoja wa marais mashuhuri wa Jamhuri ya Botswana

Quett Masire..Mmoja wa marais mashuhuri wa Jamhuri ya Botswana

Quett Masire, Rais wa zamani sana wa Botswana, Mmoja wa wanasiasa mashuhuri, na mmoja wa marais wake bora, alizaliwa mnamo Julai 23, 1925. Alishika madaraka ya urais wa Jamhuri ya Botswana kama rais wa pili wa nchi hiyo mnamo kipindi cha kuanzia Julai 13, 1980 hadi Machi 31, 1998.

Dkt. Masire alikuwa na jukumu muhimu katika uhuru wa Botswana,kupitia Chama cha Kidemokrasia cha Botswana, ambapo aliongoza ukuaji wa kiuchumi nchini Botswana wakati wa utawala wake, unaochukuliwa kama kipindi madhubuti zaidi cha utawala Barani Afrika, aliyomalizia kwa kuachia urais kwa hiari yake mwaka 1998.

Baada ya kumalizika kwa utawala wake wa nchi, alijihusisha na juhudi za maridhiano na ufuatiliaji wa uchaguzi katika nchi nyingine za Afrika. Na mnamo mwaka wa 2007, alianzisha taasisi inayoshughulikia kueneza maendeleo nchini Botswana na kanda nzima. Mbali na mchango wake katika kutafuta suluhu za amani katika changamoto zinazozikabili nchi kadhaa za Afrika kama vile Afrika Kusini, Msumbiji, Namibia, Zimbabwe, Angola, Ethiopia, Somalia, Lesotho na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Aliaga Dunia tarehe 23 Juni 2017, katika hospitali moja ya Gaborone, mji mkuu wa Botswana, akiwa na umri wa miaka 92.

[11:39 pm, 22/08/2022] Mona Ahmed Hassan: Hotuba ya Rais Gamal Abdel Nasser kwa Wanafunzi wa Eritrea wanaopongezwa kwa Uhamishaji na Haji mnamo 1954

Mjue kwamba matokeo tunayoyaona sasa nchini Misri yatapatikana kwa watu wote, nami daima natamani kuwaona nyinyi katika hali bora zaidi.

Nami ninawaambieni: tazameni mustakabali ambayo sote tunaitaka kwa ajili ya nchi zetu, na daima songeni mbele katika njia ya nguvu tuhakikishe kiburi na heshima, na ninaangalia siku za usoni na nikaona ni bora na yenye matumaini, Mwenyezi Mungu akipenda, na miaka ijayo itakuwa dalili kubwa kwa kauli hiyo.