Mhitimu wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa "Najiub Abdullah" Achaguliwa Kama Mgombea wa Chama cha Wahandisi Huko Mjini Kafr Al-shekh

Mhitimu wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa "Najiub Abdullah" Achaguliwa Kama Mgombea wa Chama cha Wahandisi Huko Mjini Kafr Al-shekh

Imetafsiriwa na/ Mariam Islam 
Imehaririwa na/ Nourhan Khaled 


Mhandisi Nagiub Abdullah  mhitimu wa awamu ya nne ya Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa Ametangaza kugombea kwake kwa Uchaguzi wa Awamu wa Pili wa Chama cha Wahandisi huko mjini Kafr Al-shekh kwa masehemu ya pamoja (Petroli na Madini) mnamo mwaka wa  2024, na inatarajiwa kupiga kura siku ya Ijuma,  tarehe 23,  Februari.

Mhandisi Nagiub Abdullah amanzia njia yake ya kikazi mwanzoni mwa kipindi cha Chuo Kikuu na vilevile alishiriki kuanzisha vikundi vya wanafunzi na jamii moja wao ni Jumuiya ya Ndoto ya Kiarabu kutoa misaada kwa wanafunzi na kuimarisha ufahamu wa utamaduni, pamoja na ushiriki wake kwenye vikundi vingi vya mashirika ya kitaifa yenye athari wazi ya kijamii, kutokana na imani yake ya jukumu la kijamii kwa vijana, amehitimu kutoka Kitivo cha Uhandisi wa Pitroli na Maadini Chuo Kikuu cha Seuz na alifanya kazi kama Mhandisi wa Pitroli sehemu ya nishati mbadala, pamoja na usomaji wake katika sehemu ya usimamizi wa biashara kitivoni masomo ya juu ya kiafrika,  Chuo Kikuu cha Kairo.

Nagiub Abdullah amechangia mipango na karatasi za utafiti kadhaa na katika mikutano mingi miongoni mwa ni mkutano wa vijana wa ulimwengu na programu ya mabalozi wa maendeleo endelevu,  na mpango wa mabalozi wa hali ya hewa, na mradi wa viongozi maelfu ya waafrika, ikiwemo kuchangia wake muhimu mikutanoni mwa nyanja ya nishati na hali ya hewa,  kama mkutano wa hali ya hewa  (COP27), pamoja na jitihada wake katika miradi tofauti ya kinadharia na kitendo katika nyanja ya nishati na mazingira pamoja na kikundi cha washiriki wenye utawala wa kimataifa kama Nerweg na serikali ya Mmisri kwa nyapa ya wizara ya pitroli na wizara ya mazingira ili kuunga mkono kwa mabadiliko ya kijani na kutoa njia tofauti za kiuchumi, za kimazingira na za endelevu zinazoweza kuhakikisha umbali zote za maendeleo endelevu.

 Kulingana na ajenda yake ya uchaguzi, Mhandisi Najiub Abdullah Said amechukua uamuzi wa pamoja na marafiki zake walio wanachama wa Jumuia Kuu, kupitia kujitolea na kuamini kwa jukumu lake la kijamii na pia la hutumika kazi na chama, kutoa maoni ya baadaye yanayolenga kuzidisha kazi ya chama na kuimarisha jukumu kale la chama kinachoanzishwa mnamo mwaka wa 1946, ili kulenda kazi ya waandishi, akiashiria kuwa ajenda ya kazi ya baadaye inatarajiwa kupanua jukumu la chama zaidi ili uweze kusaidia wahamdisi katika njia ya kijamii na ya kiafya na kutoa huduma ya kimsingi na yanayohitajikwa katika nyanja nyengi bado ni chini ya kusoma au mahali pa kuuliza kutoka wanachama wa jumuia kuu, akionesha kwa hii haitafanyikwi ila kupitia ungaji mkono na kufanya kazi kwa undogo na unganaji ili kuweza kushinda matatizo na changamoto ya kisasa.


Mratibu wa lugha ya kiswahili/ Tasneem Hamdy