El-Sisi ampongeza Rais wa Mauritius siku ya Uhuru

Imetafsiriwa na: Maryam Muhammad Sayed
Imehaririwa na: Mervat Sakr
Mratibu wa Lugha ya Kiswahili: Mervat Sakr
Rais Abdel Fattah El-Sisi alimtuma ujumbe wa pongezi kwa Rais Prithvirajsinghe Ruban wa Jamhuri ya Mauritius wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Uhuru.
Rais El-Sisi pia alimtuma Hossam Zaatar, Katibu wa Urais wa Jamhuri, kwa Ubalozi wa Jamhuri ya Mauritius huko Kairo ili kumpongeza kwa tukio hili.