Kumbukumbu ya Uhuru wa Jamhuri ya Venezuela kutoka kwa Ukoloni wa Uhispania

Kumbukumbu ya Uhuru wa Jamhuri ya Venezuela kutoka kwa Ukoloni wa Uhispania

Venezuela imepata Uhuru wake mnamo Julai 5,1830  baada ya kutawaliwa na Ukoloni wa Uhispania kumeendelea kwa karne tatu, ambapo Ukoloni huo ulitumia ukandamizaji dhidi ya raia wa Venezuela, kugawanywa nchi kwa wilaya, na kupora utajiri wa malighafi wa Venezuela kwa upande wa Uhispania.

Mapinduzi mengi na mapigano makali yamezuka dhidi ya utawala wa kihispania, yaliendelea kwa miaka kadhaa, na ukoloni umejaribu kuyaondoa kwa njia zote,na hivyo hadi mapinduzi makubwa ya Uhuru yaliyozuka yakiongozwa na Simon Bolivar, na Ari ya kuita Uhuru umesambazwa kupitia nchi za Amerika ya kusini.

Na mnamo 1821, Uhuru wa nchi Colombia kuu inayojumuisha (Colombia na Ecuador) umetangazwa, na Venezuela imepata Uhuru wake mnamo Julai 5, 1830.