Gamal Abdel Nasser na mgogoro wa ndizi nchini Somalia

Gamal Abdel Nasser na mgogoro wa ndizi nchini Somalia
Miongoni mwa misimamo inayonyesha umahiri wa kisiasa wa Abd_Elnaser wa kusaidia nchi za kiafrika ni lililotukia mwaka 61 ambapo Somalia katika Wakati huu ilikuwa chini ya utawala wa waitalia waliokuwa wakitaka kumshinikizia waziri mkuu wa Somalia Charmaki ili kubadilisha siasa yake ya uhuru(ukombozoi), mashirika ya kiitalia yalijilimbikiza ndizi ili kumtisha ima kuibadilisha siasa yake au yanasababisha kuuporomoka uchumi wake unaotegemea kwa nguvu Juu ya ndizi katika mapato ya ndani
Katika wakati hii Charmaki aliiomba msaada ya Abd_Elnaser aliyefikiria vipi kuokoa uchumi wa kisomalia na anageuka uchawi juu ya mchawi mwenyewe na anawalazimisha waitalia kufungua kuzingirwa na wananunua mazao kwa bei juu inayoainishwa na Somalia, pasi alikubaliana na Charmaki kwamba yeye anatangaza rasmi kwamba Abd_Elnaser atanunua mazao zote na kwa hivyo mashirika ya kiitalia yataogopa kulipotea soko la kisomalia, mpango huu umeshafanikiwa na wakawa waitalia waliendelea kuzungumzia na charmaki kwa kuifuta makubaliano yake na Misri na walimtoa ahadi ya kufungua kuzingirwa, na kwa usaidizi wa Abd_Elnaser ndizi za kisomalia haziuzwi tu bali ziliuzwa kwa bei juu zaidi kuliko mara zingine zilizopita.