Majivuno ya Misri ni kutokana na Majivuno ya Jeshi Lake

Imetafsiriwa na/ Alaa Zaki
Imehaririwa na/ Mervat Sakr
Niwashukuru kwa fursa hii tuliyokutana nayo asubuhi ya leo, na ningependa kumwambia Mheshimiwa Amiri Jeshi Mkuu kwamba baada ya kukutana nanyi asubuhi hii, nilihisi kwamba tunahitaji mikutano hii mingi, kama tulivyohisi kila wakati, na mimi mwenyewe hasa, siku zote nilihisi katika miaka yote iliyopita kwamba ni jeshi ambalo lazima libebe ujumbe huu, na kwamba jeshi pekee linalinda uaminifu huu.
Sasa nimeweza kuinuka kutoka kifuani mwangu na mimi mwenyewe wasiwasi mwingi ambao lazima nikabiliane nao katika siku hizi zinazopingana, na kwa miezi na wiki ndefu. Nilipowaona, niliona ndani yenu kiburi cha Misri na kukumbuka kile nilichosema daima: kiburi cha Misri kinatokana na kiburi cha jeshi lake, na kiburi cha jeshi lake ni kutokana na kiburi chake.
Mwenyezi Mungu awape mafanikio... Mwenyezi Mungu akuongoze hatua zako na akusaidie kwa ushindi kutoka kwake.
Hotuba ya Rais Gamal Abdel Nasser katika Klabu ya Maafisa wa askari wa miguu huko Abbasiya ya tarehe 7 Novemba 1954.
Mratibu wa lugha ya kiswahili/ Tasneem Hamdy