Semina ya Hibs ... Ukumbi wa semina wa kwanza  katika jangwa la magharibi la Msiri 

Ardhi kubwa na jangwa kubwa hadi macho yawezavyo kuona katika jangwa la nje inatangaza kufika kwa msafara wa kwanza kwa ajili ya kuijengea mnamo Oktoba 3, 1959 BK. Baada ya  Rais Gamal Abdel Nasser kutangaza kupeleka msafara wa Kikosi cha Wahandisi  ili kujenga upya Bonde El-gdid , siku hiyo, ambayo baadaye ikawa sikukuu ya kitaifa kwa mkoa huo .  baada ya Miaka miwili ya kuwasili kwa msafara huo wa kwanza,  mkoa wa El-wadi El-gdid " ,  unaochukua 44 % ya upana wa Misri, kutokana na mgawanyiko wa kiutawala wa Jamhuri.

Kwa kuamini kwa  jukumu la sanaa , utamaduni na ushawishi wa nguvu laini katika kuunda na kuelimisha ufahamu wa umma na kuchangia maendeleo ya jamii, Sinema ya Hibis ilianzishwa kutoka kwa jina la Hekalu la Hibis, "jengo kongwe na kubwa zaidi katika Jangwa la Magharibi. ,” iliyopo katika umbali wa kilomita nne tu. Hebes ni neno la Kigiriki kwa neno la kale la kimisri  "Hebs",  linaomaanisha jembe, na  jangwa lilipewa jina lake kutokana na  ubora wa Ardhi yake .

wakati wa Hewa safi, utulivu na jua wazi ; Sinema ya "Hebs" wakati wa kipindi cha kiangazi  ilianza kazi yake kwa  mashine za Kijerumani zinazotumia makaa na kaboni mnamo 1963. Sinema ya Hibs inajumuisha ukumbi mkubwa wa sinema unaoandaliwa kwa maonesho ya semina , ofisi sita za usimamizi , ukumbi wa wageni wa VIP na roshani ya kuonesha. vilevile , Tangu kujengwa kwake, imetumika kama sehemu ya kiutamaduni na burudani kwa watu wa jangwa .