NJIANI

NJIANIWewe ni Nani??

Hilo ndilo lengo kuu la kuandika kitabu cha NJIANI na "MENNA YASSER" mwandishi mmisri wa kwanza aliyeandika kitabu kwa Kiswahili pia Kiarabu, kuhusu suala la Maendeleo ya Binadamu.

Ndani ya kitabu hicho utapata maelezo mengi sana kuhusu aina tofauti za watu, Vp tunaweza kujiboresha, tena Wewe ni nani; ndio maana huwezi kujiboresha nafsi yako ila unapowahi kujifahamu na kuelewa vyema mahitaji yako binafsi.

Hebu pamoja tusome NJIANI na tujue zaidi kuhusu Maisha yetu.