Nagib Mahfouz

Nagib Mahfouz

Mwandishi mwarabu mashhuri kabisa na yeye ni mwarabu wa kwanza aliyepata tuzo ya Nobel katika fasihi mwaka 1988

 Na ana Mtindo wa kipekee na uzalishaji mkubwa katika uandishi wa riwaya katika fasihi ya kiarabu mpaka alikuwa Mwandishi mwarabu mashuhuri kabisa katika raia za dunia , Nagib Mahfouz aliandika tangu mwanzo wa miaka ya arubaini na aliendelea hata 2004 na matukio yote ya riwaya zake yanatokea nchini misri na yanaonekana sifa yanayokaririwa ambayo ni kitongoji ambacho ni sawa na ulimwengu na moja ya kazi zake maarufu : Mara tatu na watoto wa kitongoji chetu ambapo zimezuiliwa kuchapishwa nchini Misri tangu kutolewa kwake hadi hivi karibuni na yeye ni Mwandishi zaidi mwarabu kazi zake ziligeuzwa kwa sinema na runinga.

 

Aliitwa Nagib Mahfouz kwa jina la mchanganyiko kwa utambuzi wa baba wake Abdelaziz Ibrahim kwa daktari maarufu Nagib pasha Mahfouz

aliyesimamia kuzaliwa kwake ambako alikuwa gumu Sana

Kuzaliwa na mwanzo

Nagib Mahfouz alizaliwa 11 Disemba  mwaka 1911 katika kitongoji cha Algamalea ambapo aliishi utoto wake ndani yake , kisha alikwenda kwa Abbassia , Elhossin na Elghoria naye ni vitongoji vya zamani vya Kairo ambavyo vimemvutia katika kazi zake za kifasihi na maisha yake ya kibinafsi , alihitimu kutoka shule ya misingi na sekondari na umri wake ulikuwa 18 na aliingia chuo kikuu mwaka 1930 na alipata Shahada ya Sanaa ( idara ya falsafa) kutoka chuo kikuu cha Kairo mwaka 1934 na wakati wa maandalizi yake

Mwalimu Thesis ( alianguka mawindo kwa mzozo mkali ) kati ya kufuata kufunza falsafa na mwelekeo wake kwa fasihi ambao unazidi na unaongezeka katika miaka ya hivi karibuni kwa Utaalamu wake baada ya kusoma kwa Elakaad na Taha Hussien

 

Njia yake

Alifanya kazi kama Mwandishi katika idara ya chuo kikuu kisha

Katibu wa Bunge kwa waziri ya Awqaf mwaka 1939 kisha meneja katika Ofisi ya Idara ya Sanaa mwaka 1955 kama alichukua nafasi kadhaa tangu mwaka 1959 Na hata inajulikana pensheni mwaka 1971 ambapo alifanya kazi kama Mkurugenzi wa Udhibiti wa Kazi za Sanaa kisha meneja wa taasisi ya kuisaidia sinema na mwenyeketi WA bodi ya wakurugenzi kisha mkuu wa taasis ya sinema mwaka 1966 , kisha mshauri wa  waziri ya Utamaduni kwa mambo ya sinema mwaka 1968 kama alikuwa mwanachama wa baraza la juu la Utamaduni , katika klabu ya hadithi na chama cha waandishi

 

Mwenye  tuzo ya Nobel, alianza safari yake ya kifasihi kwa kuandika hadithi mfupi katika mwaka 1963 kisha kuandika riwaya ya kihistoria ambapo alichapisha riwaya yake ya kwanza kuhusu historia ya farao kisha riwaya ya kijamii na kazi zake zilitofautiana na aliyachukua maudhui zake kutoka chanzo zaidi ya moja  ama majaribio ya kibinafsi au majaribio ya wengine na Kipaji chake kilidhihirisha katika trilogy yake mashuhuri ( kati ya majumba wawili , Jumba LA Shauku na Elsokaria ) ambayo ameimaliza kuandika mwaka 1952 lakini haichapishwa kabla ya mwaka 1956 kwa sababu ya ukubwa wa saizi yake

 

Nagib Mahfouz ana mwelekeo kwa kuandika riwaya zenye maudhui ya kifalsafa zinazoshughulikia wasiwasi na fikira ya jamii ya kimisri na alidhihirisha maisha ya tabaka la wastani katika vitongoji vya Kairo katika kazi zake , akieleza wasiwasi na matumaini yake na alionyesha hofu zake kuhusu masuala muhimu sana kama alionyesha maisha ya familia ya misri katika mahusiano yake ya ndani na kunyoosha kwa mahusiano haya katika jamii na kazi hizi zina sifa za uhalisia wa kuishi na zilichukua tabia ya kiishara kama katika riwaya zake ( watoto wa kitongoji chetu , Haravish , safari ya Ebn Batota )

 

Na kati ya mwaka 1952 na 1959  aliandika idadi za Scenarios kwa sinema hazina mawasiliano na kazi zake za kifasihi ambazo idadi ziligeuzwa kwa televisheni katika kipindi cha hivi karibuni na miongoni mwa kazi hizo ( mwanzo na mwisho , eltholathya , Udaku juu ya Mto Nile , mwizi na mbwa na njia )

 

Shughuli zake

 

Nagib Mahfouz alitoa zaidi ya hamsini kutoka riwaya na mkusanyiko wa hadithi kama  zaidi ya kazi zake zilifasiriwa  kwa lugha 33 ulimwenguni na kazi zake zimerekodiwa katika bunge la marekani kwa kuzingatiwa mojawapo wa waandishi muhimu duniani na kitabu kimetolewa kuhusu maisha yake na kazi zake za kifasihi kwa lugha ya ujerumani kwa anwani ya ( Nagib Mahfouz , maisha yake na fasihi yake ) mwaka 1979

 

Na miongoni mwa kazi zake muhimu : ( zokak elmadak , siku ya kuua kwa kiongozi , Eltholathya , jumba la shauku , baina ya majumba mawili , Elsokariia , Khan elkhaliliy , kashtamar , chini ya kivuli , upendo chini ya mvua , udaku juu ya mto wa nile , zokak elmadk , watoto wa kitongoji chetu , elseman na alkharif , mwanzo na mwisho , vioo na Kairo 30 )

 

Tuzo 

Mwandishi mmisri wa kimataifa Nagib Mahfouz alipata tuzo nyingi ambazo alipewa nchini Misri na ulimwengu wa kiarabu na miongoni mwao :

Tuzo ya qut elkoloob katika riwaya kuhusu riwaya ya Radobis 1943

Tuzo ya wizara ya elimu kuhusu riwaya ya Kefah teba 1944 

Tuzo ya chuo cha lugha ya kiarabu kuhusu riwaya ya Khan El-khaliliy 1946

Tuzo ya nchi katika fasihi kuhusu riwaya ya baina ya majumba mawili 1957

 Na Mpangilio wa Meriti kutoka daraja la kwanza 1962

Tuzo ya Sherehe ya Jimbo katika fasihi 1968

Tuzo ya jamhuri kutoka daraja la  kwanza 1972

Tuzo ya nobel ya kimataifa katika fasihi 1988

Mkufu mkubwa kabisa wa nile 1988

Kifo kwake

 

mnamo asubuhi ya 30 mwezi Agosti mwaka 2006 Mwandishi mmisri  na mwenye  tuzo ya Nobel Nagib Mahfouz alikufa katika hospitali ya polisi .