Mnamo siku za kwanza za kusajili, Udhamini wa "Nasser kwa uongozi wa kiafrika" unashuhudia ujio mkubwa wa vijana wa nchi za kiafrika."

Mnamo siku za kwanza za kusajili, Udhamini wa "Nasser kwa uongozi wa kiafrika" unashuhudia ujio mkubwa wa vijana wa nchi za kiafrika."
Udhamini wa "Nasser kwa uongozi wa kujibadilisha", unaotolewa kwa wizara ya vijana na michezo ( Idara kuu ya bunge na elimu ya kijamii- ofisi ya vijana waafrika), unashuhudia ujio mkubwa wa vijana wa nchi za bara la Afrika mnamo siku za kwanza za kusajili, ambapo idadi ya waombaji makada wa vijana 254 kutokana na nchi ya kiafrika 41 kwa asilimia hizi: Algeria(1,6%), Angola(1,6%), Benin(0,8%), Betsuwana(0,8%), Burundi(1,6%), Kapuferdi(0,4%), Kameron(1,6%), Chad(2,8%), Jamhuri ya Kongo ya Demokrasia (1,2%), Jamhuri ya Kongo Brasivili(0,8%), Djibouti(0,4%), Eretria(0,4%), Aswatini(0,4%), Ethiopia (3,1%), Gambia(2%), Ghana(3,4%), Ghenia(0,8%), Kenya(3,2%), Liberia(4,3%), Lebya(1,6%), Madagascar (0,4%), Malawi(6,7%), Mali(1,6%), Mauritius (0,4%), Morocco(0,4%), Msumbiji(0,8%), Nambia(0,4%), Naigeria(25,2%), Ruwanda(1,6%), Seralion(3,1%), Somalia(2,8%), Kusini mwa Afrika (1,2%), Kusini mwa Sudan(1,2%), Sudan(2%), Tanzania (2,8%), Tugo(0,4%), Tunisia(2%), Uganda(3,1%), Zambia(3,5%), na Zembabwe (2%).
Na inaendelea kusajili na kupokea maombi kupitia kujaza fomu ya kushiriki kupitia linki ifuatayo:https://forms.gle/G8BcwbUKKaGnHXeZ8
Kwa tarehe ya 15,mwezi wa Mei hii, ambapo tutawasiliana na waliokubaliwa kuanzia tarehe ya 13,mwezi wa Mei hii kama awamu ya kwanza.
Na Udhamini utakaoteklezwa mnamo kipindi cha 8 kwa 22 mwezi wa Juni ijayo kwenye kituo cha elimu ya kiraia katika Algazira, unawalenga vijana mia moja(100) toka viongozi maarufu wa nchi wanachama za Umoja wa kiafrika kama waanzisha wa maamuzi ndani ya sekta ya kiserikali, viongozi watendaji, katika sekta binafsi, vijana wa kiraia, wakuu wa mabaraza ya kitaifa, kwa vijana wataalamu wa vyuo vikuu, watafiti wa vituo vya tafiti za kimikakati na kimawazo, wanachama wa vyama vya kiufundi, na Waandishi wa vyombo vya habari.
Na Udhamini huu unazingatiwa ni mmoja wa vyombo vya uteklezaji wa mpango wa kuwawezesha kijana mwafrika milioni moja kwa ujio wa 2021,uliotolewa kwa Kamishna ya Elimu , Teknolojia, na Rasilimali katika Umoja wa kiafrika hivi karibuni kwenye mji mkuu ( Adis Ababa).
Na udhamini huo unalenga kuhamisha majaribio ya kimisri ya kale katika kuunda taasisi za kitaifa, pia kupatikana kizazi kipya cha vijana waongozi wa kiafrika, wenye mtazamo unaowafikiana na mielekeo ya Urais wa Misri kwa Umoja wa kiafrika, ambao unaita kwa huduma ya malengo ya Umoja wa kiafrika kupitia Ukamilifu, pamoja na kufanya mkusanyiko wa makada vijana waafrika wanaoathirika katika bara, kupitia kufunza, ujuzi unaolazimishwa na mitazamo ya kimikakati.
Na hayo yanaenda sawa sawa na Kuangalia kwa wizara ya vijana na michezo kwa uongozi wa Dokta Ashraf Sobhi ili; kufanya mchango wake unaohusiana na kuimarisha jukumu la vijana wa kiafrika ; kupitia kutoa aina zote za msaada na mafunzo, pamoja na kuwawezesha katika vyeo vya uongozi na kunufaisha toka uwezo wao na mawazo yao; kulingana na yaliyotangazwa na rais Abd Elfatah Elsisi kupitia matukio ya mkutano wa vijana wa Ulimwengu, pia kutekleza uamuzi wake ili kufanya mwaka wa 2019 uwe mwaka wa Elimu.
Inatajwa kwamba Udhamini wa Abd Elnaser ni Udhamini wa kwanza wa ( kiafrika -kiafrika), unalenga vijana waongozi watendaji wa kiafrika, wenye vitengo tofauti ndani ya jamii zao, Nao ni mmoja toka vyombo vikuu vya kuwezesha kwa mabadiliko ya kiafrika, vilivyoainishwa na ajenda ya 2063; ili kuyaimarisha maadili ya kiafrika, kupitia kujitegemea, mshikamano, kazi kwa bidii, ustawi wa pamoja, na kujenga juu ya mafanikio ya kiafrika na ujuzi, na vitendo vizuri zaidi ili kuunda mfumo wa kiafrika, kwa mabadiliko na maendeleo. Pia Udhamini huo unazingatiwa mmoja wa vyombo vya" unyonyaji wa marejeo ya idadi ya watu kupitia Uwekezaji wa vijana " sawa sawa na Urais wa Misri kwa Umoja wa kiafrika mwaka wa 2019.