Maktaba ya Baba wa Kiongozi Gamal Abdel Nasser

Taarifa za maisha ya marehemu kiongozi Gamal Abdel Nasser ziliandikwa hapa kati ya kona na kuta za nyumba hii ya kale, iliyopo namba (8) Mtaa wa Al_ kanawati , Matika Kitongoji Maarufu cha Bakus Mjini wa Aleskandaria . Nyumba hiyo iliyoshuhudia utoto wa mtu miongoni mwa marais muhimu wa Misri, bali mmoja wa viongozi wenye athari Duniani.

Nyumba iko kwenye Al_ kanawati, nje ya mtaa mkuu wa Mustafa Kamel, katika mtaa Bakus, eneo lake linafikia mita 160 , limegawanywa kwa vyumba 5, hii ni nyuma yenye ghorfa moja tu yenye lango la nje kisha lango la ndani la  nyumba .

Baada ya Familia ya Gamal Abdel Nasser imeondoka mkoa wa Aleskandaria, imeuzwa kwa familia inayoitwa Al_ sawy. Baada ya kifo cha  Abdel Nasser, Rais Anwar Al Sadat aliamua kutafutia kununua nyumba hiyo na kuibadilika kwa makumbusho kubeba vitu vyake , baadaye mkoa wa Aleskandaria uliamua  kuinunua nyumba kwa paundi elfu 30 ili kuitenga kama makumbusho .

Lakini ilibaki kwa miaka mingi ikisimamiwa kwa Wizara ya Utamaduni, lakini hakuna hatua iliyochukuliwa ndani yake hadi 2016 Wizara ya Utamaduni iliiboresha na kuibadilika kwa makumbusho ya ajabu, na maktaba yenye vitabu kadhaa vya watoto na watu  wazima.