Abd El Nasser ambaye hawakutaki kumfahamu

Abd El Nasser, Wasomi na Utamaduni:
Fikra ya kutoendelea imejionyesha kwenye akili ya Gamal Abd El Nasser , lakini kwa mujibu wa uzoefu wake wa kijeshi akilini mwake imekuwa kupambana na swali hajaweza kupata jibu lake kamwe.
Kwa uzoefu wake wa kijeshi amekuwa akiona ugumu wa pahali pa Misri pa Jiografia na umuhimu wake amekuwa na shaka kwamba hali za kisasa za ulimwengu na nguvu ndani yake inawezekana kuruhusu kwa Misri na kutopendelea pahali pake pa jiografia na kuiachia usalama wake wa ndani.
Kwa hivyo mnamo siku hizi daima amekuwa kutafutia wale wanaoweza kuanzisha fikra ya kutopendelea kwa kuihakikisha ndani hali za Misri na utafiti huo umempalekea kwa uhusiano umehakikishwa na balozi wa Uhindi aliyetuliwa nchini Misri baada ya mapinduzi naye ni Bw. Banikar, Banikar amekuwa mhindi mwenye elimu kubwa na tajriba yake ndani ya serikali hata kabla ya ukombozi imekuwa tajiriba nzuri sana na nafasi ya mwisho aliyeishugulia kabla ya kutuliwa hapa nchini Misri amekuwa balozi kwenye Jamhuri ya China na Abd El Nasser ameanza kumwita ili kuzungumza naye katika vikao ili kusikilza mawazo yake kuhusu fikra ya kutopendelea ambayo Uhindi imeifuata licha imekuwa mjumbe katika Comanwelth wakati huo.
Mnamo kipindi hiki Abd El Nasser amekuwa na hamu kubwa ya kusoma kitabu kimetungwa na Banikar ambacho kimezingatiwa kitabu muhimu sana katika siasa kwa anwani (Asia na Udhibiti wa magharibi) na zaidi ya hayo Gamal Abd El Nasser ameomba kitabu kifasiriwe kwa kiarabu na kukigawanya katika baraza la mapindUzi ili kukisoma nawe kisha kukichapisha kwa wamisri wote.
Banikar amekuwa na urafiki mbalimbali na vikundi kadhaa kutoka Uingereza wenye asili ya Fabia wengi wao wamekuwa wanachama katika chama cha wafanayi kazi wa Uingereza au wawakilishi wa baraza la umma la Uingereza na Abd El Nasser amemwalika Banikar kwa kuitembelea Misri.
Na mnamo kipindi hicho Gamal Abd El Nasser pia amekutana na mmojawapo wa wanazilishi wa fikra ya kutopendelea, ni profesa Mahmoud Azmy amezungumza nawe katika vikao tele na kwa makini kuhusu hoja zake za kuita kutopendelea na vipi zinaweza kutekelezwa katika pahali pa jiografia pa Misri na Mahmoud Azmy amekuwa huondoka kutoka kwa kikao cha Abd El Nasser ili kuandika ripoti zenye ufafanuzi mkubwa za pande zote za suala hilo na baadaye kurudi na kuzijadili naye ( baadaye Rais Abd El Nasser amekata shauri la kuteua profesa Mahmoud Azmy- ambaye ni mmojawapo wa kundi la kwanza la Wasomi Wamisri - kama Mkuu wa kudumu wa ujumbe wa Kimisri katika Umoja wa Mataifa .
Faili za Suez, Mohamed Hasanen Hikal..