Dkt. Adel Al-Adawi

Dkt. Adel Al-Adawi

Dkt.Adel Al-Adawi, Profesa Msaidizi wa Mahusiano ya Kimataifa, kutoka Chuo Kikuu cha Marekani mjini Kairo, mhitimu wa Programu ya Urais ya kuwawezesha Vijana kwa Uongozi katika toleo lake la kwanza.

Pia ana Shahada ya Uzamivu na kitengo cha Mafunzo ya Vita,  Kitivo cha Kings huko London, pia amepata shahada ya Uzamili katika Sayansi za Kisiasa kutoka Chuo Kikuu cha Marekani huko jiji la Washington. 

Na amefanya kazi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Kongamano la Kiuchumi- Kimataifa kwa Misri, na pia alikuwa mjumbe katika Kitivo cha mkusanyiko wa NATO huko Roma, ambapo amejifunza Ushirikiano wa  kivitendo na kimajaribio  kati ya Misri na Mkusanyiko wa NATO katika uwanja wa kati.

Al-Adawi amepata Vyeo kadhaa vya hadhi katika taasisi za mawazo yaliyo muhimu zaidi kama Chuo cha Washington kwa Siasa ya Mashariki ya mbali, na mradi wa Usalama Wa Marekani, kituo cha masomo ya kimkakati na kimataifa, pia Chuo cha Mashariki ya Kati,  na kituo cha masomo ya kimataifa huku mjini Kairo. 

 Dkt. Adel Al-Adwi  kupitia masomo na  machapisho kikamilifu amejikitia mahusiano ya kitaifa na kijeshi katika ulimwengu wa Kiarabu,  usalama wa kitaifa,  Masuala ya kijiografia katika eneo la Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini na sera ya kigeni ya Misri ya karne ya 21.