Idara kuu ya mipango ya kiutamaduni na ya kujitolea ni Mshiriki wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa katika toleo lake la tatu
Idara kuu ya mipango ya kiutamaduni na ya kujitolea inazingatiwa kama idara moja kuu inayoshughulikia vijana, ambapo inatekeleza mipango mingi na shughuli zinazomhudumia Vijana wote wa Misri huko pande zote za Jamhuri, sawa ni kiutamaduni, kisanaa, kijitolea na Burudani,kwa mwaka, zaidi ya Vijana milioni mbili kwa jinsia zote mbili, inayolenga maendeleo ya mwamko wa Utamaduni na sayansi,pia uzinduzi wa ujuzi wa kisayansi na ubunifu kwa ajili ya vijana na kuendeleza roho ya mali na uaminifu miongoni mwa vijana na kuwahamasisha kufanya kazi kwa pamoja na kujitolea, pia upanuzi wa shughuli za burudani na uwekezaji bora burudani kwa kuzingatia Maoni ya 2030.
Idara kuu ya mipango ya kiutamaduni na kujitolea inazingatia kukuza mazungumzo na vijana wa Dunia kwa kutoa fursa kwa mawasiliano kati ya vijana wa Misri na wenzake huko nchi mbalimbali za Kiarabu na kigeni kupitia programu za kubadilishana vijana katika nyanja zote za kiutamaduni, kisanaa na kijamii .
Pia inashughulikia kuthibitisha urithi wa Utamaduni na Ustaarabu wa Misri katika mioyo ya vijana, na utekelezaji wa mipango na programu katika maendeleo ya utamaduni, sanaa na kujitolea, na Skauti kwa vijana na kutosheleza vifaa muhimu; kuvutia sehemu kubwa ya walengwa.
Pamoja na kuwepo kwa programu za maendeleo ya utafiti na uvumbuzi kati ya vijana na kupanua upeo wao na maendeleo ya kupatia Utamaduni na sayansi na kuwatunza na pia mipango bora ya kuelewa vizuri mazingira na kuchangia katika kutatua matatizo ya mazingira, kupitia kuratibu pamoja na mamlaka husika.
Idara hiyo pia inataka kueneza harakati za Skauti na mwongozo na kukuza makundi tofauti ya Skauti kati ya vijana na kuwahamasisha bora zaidi kutoka kwao, na kufuatilia upangaji wa safari za Skauti kwao kueneza roho ya kujitegemea na kuboresha thamani ya roho za Uaminifu na Uzalendo.
Ikumbukwe kuboresha suala la wasichana na wanawake na kuunganisha juhudi zao katika utaratibu mzima wa maendeleo na kuwawezesha kutoa majukumu yao ya kiuchumi na kijamii na kujihusisha ndani ya jamii, kukuza ushiriki wa vijana katika mipango ya kujitolea katika jamii kikamilifu pia kuunganisha kujitolea pamoja na masuala ya kitaifa.