Kampuni ya Mji wa Nasr kwa Makazi na Ujenzi

Kampuni ya Mji wa Nasr kwa Makazi na Ujenzi

Imefasiriwa na / Nourhan Khaled Eid

Kampuni ya Mji wa Nassr kwa Makazi na Ujenzi yachukuliwa kama mojawapo ya makampuni ya Makazi  makubwa zaidi yenye historia ndefu ya miongo kadhaa, tangu imeanzishwa mnamo Januari mosi, 1959, kulingana na kutoa azimio la Jamuhri la Rais Gamal Abdel Nasser kuweka ukubwa wa ardhi mita mraba milioni 4,5, miongoni mwa ardhi za Mji wa Nasr, kwenye mashariki ya Kairo kwa ajili ya kuanzisha miradi kwa kampuni hii. 

Kampuni hiyo imeanzisha kiutekelezaji  mnamo miaka ya sitini karne iliyopita ambapo nafasi zake ilizopata zimegeuza zikawa makazi mapya, na majengo kwa serikali na Wizara kadhaa, na hata baada ya kukidhi mafanikio, kuna ukubwa mbalimbali umeongezwa kwa kampuni mnamo miaka ya sabini, kwani kampuni imeamulia kuanzisha klabu ya mchezo ya Mji wa Nasr, na pia kitengo cha kwanza cha polisi katika mji huu, na kwa hivyo umeweza kuanzisha alama iliyoibuka sana katika historia ya Kairo. 

Na mnamo miaka ya tisini, umefikishia mafanikio yake kwa kuanzisha mtaa wa Balozi na mradi Alwaha wa Makazi. 

Na kupitia kipindi hicho imejitahidi kulinda nafasi yake kuu na ya juu, kwenye uwanja mkuu wa Makazi katika Jamhuri ya Misri ya Kiarabu na hayo yote kwani utashi wake wenye nguvu kuendana maendeleo ya kimataifa yenye kasi sana ili kupata matarajio na makubaliano ya wateja iliyotulia manani kila wakati na pia hayo yameibukia kupitia kuanzisha miradi yake mbalimbali katika nyanja kadhaa za ujenzi na hayo katika awamu zake zote.