Kampuni ya Elnasr ya Utengenzaji wa Transformers na Bidhaa za Umeme Elmako

Kampuni ya Elnasr ya Utengenzaji wa Transformers na Bidhaa za Umeme Elmako

Imetafsiriwa na/ Ahmed Salama
Imehaririwa na/ Nourhan Khaled 

Kampuni ya Al-Nasr ya vibadilishaji na bidhaa za umeme ilianzishwa, mnamo 1957, kulingana na uamuzi wa Rais Gamal Abdel Nasser, kwa lengo la kukidhi mahitaji ya ndani, kikanda, ulimwengu wa Kiarabu na Kiafrika katika uwanja wa bidhaa za umeme.

Makko hutengeneza aina mbalimbali za transformer za umeme na usambazaji pamoja na bidhaa nyingine za umeme kama vile: capacitors, joints, valves, air conditioners, transformer za arc welding. Kampuni ya kwanza katika Mashariki ya Kati katika utengenezaji wa vibadilishaji vya umeme vya kila aina. Kampuni hiyo ni muuzaji mkuu wa kampuni zote za umeme, kampuni za petroli katika sekta binafsi na za umma nchini Misri, na nchi zingine za Kiarabu na za kigeni.

Kampuni hiyo ina kiwanda katika eneo la Metria cha kutengeneza transformer za mafuta zinazotumiwa katika vituo vya umeme. Na nyingine katika mji wa Badr ili kutengeneza transformer kavu.


Mratibu wa lugha ya kiswahili/ Tasneem Hamdy