Kituo cha kitaifa kwa Ufasiri
Kituo cha kitaifa kwa Ufasiri ni tasisi ya kitaifa kilijengwa kwa uamuzi wa kijamhuri mnamo mwezi wa Oktoba mwaka wa 2006, nayo ni tasssis ya huduma haitafutia fedha ,lakini katika wakati ule ule inahangaika kwa kujiendeleza , kuboresha vyanzo vyake zao na kuvielekeza kuelekea kuhakikasha lengo iliyolijengwa kwake .
Mradi wa kitaifa kwa Ufasiri uliosherehekea mwanzoni mwa 2006 kwa kutoa kitabu namba 1000 ,unazingatiwa sehemu muhimu zaidi katika njia ndefu kutoka juhudi zinazotolewa katika uwanja wa Ufasiri wakati wa historia yetu mpya, ilianza pamoja na kujenga shule ya Al Alsun mnamo karne ya kumi na tisa ,iliendelea katika juhudi za kamati ya uaandishi ,tafasri na uchepishaji ,mradi wa kitabu elfu moja uliotoa karibu na kitabu mia sita wakati wa kusimamisha kwake ,pamoja na miradi miwili haikamilki : wa kwanza kwa Mkusanyiko wa nchi za kiarabu chini ya usimamizi wa Taha Hussien ,na wa pili kwa mamlaka ya kitabu cha kimisri chini ya uongozi wa Samir Sarhan .
Mradi wa kitaifa ulizindua kutoka mianzo iliyopita, ukihangaika malengo makubwa zaidi na kamili, sambamaba na vielezi vya kisasa vya utambuzi, kwa kuzingatia kundi la kanuni za msingi ambazo mradi huo umejiwekea. Mradi huo uliweza kwa muda wa miaka kumi kufanikiwa kutoka kwa matokeo chanya ambapo ulipata uaminifu na heshima katika ulimwengu wa utamaduni wa kiarabu, ukizingatiwa jaribio kubwa zaidi la kisayansi na lenye maendeleo, kwa kiwango cha kupunguza pengo kati yetu na wale waliotutangulia kwenye njia hii. umekuwa ukitofautisha kwa kila kitu kilichotangulia, kwa sifa kadhaa, hasa ufasiri kutoka kwa lugha ya asili, kuzidisha kwa lugha zilizotafsiriwa / karibu na lugha thelathini, usawa kati ya maarifa tofauti kwa ajili ya kukidhi uhaba katika maktaba ya Kiarabu, na utafsiri wa idadi kubwa ya misingi ya maarifa, pamoja na kazi za kisasa zinazofikisha kwa msomaji mwarabu kwa utamaduni wa ulimwengu katika majaribio yake tofauti.
Mielekeo na malengo
1_kusistiza Utawala wa Misri katika michakato ya tafasri na kuhifadhi nafasi yake kwa kulinganishwa na nchi za kiarabu zilizofunza kutoka jaribio la kimisri ,lazima kutoa misaada ambayo inahifadhi nafasi yake ya uongozi .
2_kuboresha hali za tafasri ,na hii kwa ajili ya kufikia viwango vya karibu kutoka viwango vya ulimwengu katika kiwango chake cha chini ,kwa kuangalia nchi kama : Uhaspaina ,Italia hata Israel "Uyahudi" kila nchi toka kwake kila mwaka inatafsiri karibu na kitabu elfu 20 ikiwa walifikia katika kituo cha kitaifa kwa Ufasiri hadi kiwango cha vitabu 1000 kwa mwaka badala ya vitabu elfu mnamo miaka kumi, matokeo yake yatakuwa sababu ya matumaini na amali ambapo kufikia viwango vya chini vya kimataifa.
3-kufungua njia za maarifa mbele ya msomaji mwarabu katika nyanja zake , nchi zake na lugha zake ,mbali ya utawala wa lugha moja tu na upungufu kukisistiza kwa msingi wa utofauti wa kiutamaduni .
4_kuziba mapengo ya utambuzi yanayopatikana katika utamaduni wetu wa kisasa ,katika nyanja za kisayansi zinazoingia katika njia ya masilahi ya taasisi inayohifadhi kufikia maendeleo yasiyo na ukomo katika mapinduzi ya maarifa .
5_kuhakiksha usawa unaohitajika kati ya matawai ya maarifa ili kushughulikia kupungua katika tafasri ya utamaduni wa kisayansi na sayansi tofauti ili kufikia kwa kuendelea ufahamu wa kisayansi na kuendeleza kwa jumla na kukuza harakati za utafiti wa kisayansi kwa matwai yake tofauti hasa .
6_kushikilia kundi la mahusiano nguvu pamoja na taasisi za kitaifa zinazoweza kusaidia michakato ya tafasri kifedha na kiroho kupitia protokoli za machapisho ya pamoja.
7-ushirkiano na utaratibu pamoja na taasisi za wizara ya utamaduni inayohusika kwa Ufasiri na wachpishaji katika sekta binafsi nchini Misri na nchi za kiarabu ili kuhakiksha uzidi katika viwango vya uzalishaji wa vitabu vilivyotafasiriwa kwa ujumla ,ambapo haiaminiwa kuwa bahati ya kila mwananchi milioni wa kiarabu itakuwa karibu na kitabu kimoja kinachotafsiriwa,ambapo bahati inafikia kwa kila mwananchi milioni wa Uhispania vitabu 250 kinachotafisiriwa.
8-kuboresha shughuli ya ya Ufasiri kupitia kuunda wafasiri na kuwazoeza na kuendeleza uwezo wao ili kuunda vizazi vipya vinapata uzoefu na mazoezi , kupitia kozi maalumu ,warsha za tafasri na kutekeleza mfumo wa mfasiri unafanyawa kwa ushirikiano pamoja na mashirika na taasisi za ulimwengu ,na kuweka mpango kwa wakati wote na tuzo za motisha .
9_kueneza ufahamu kwa Ufasiri kwa wosamaji na wasomi kwa ujumla kupitia :
.Kutoa jarida linalohusika kwa Ufasiri ambapo hujumuisha Tafiti ,masomo na ubunifu uliotafsiriwa
kuratibu mkutano wa kimataifa wa kila mwaka ambapo watafiti, wafasiri na waandishi kutoka Misri na ulimwengu wamealikwa kushiriki ndani yake kujadili masuala ya Ufasiri na shida zake
Kuandaa saluni ya kitamaduni ya kila mwezi ambayo machapisho ya kituo hiki hujadiliwa na majadiliano wazi hufanyika pamoja na waandishi, wafasiri, wachapishaji na wakosoaji wanaovutia kukuza ufahamu wa nadharia ya Ufasiri kupitia mihadhara na semina.
Kutoa jarida la kila mwezi la kutangaza shughuli za kituo hicho, machapisho na mipango yake ya siku zijazo, pamoja na maonyesho ya muhtasari, habari za Ufasiri na Wafasiri .
10 - Kuhama kutoka hatua ya kutegemea msaada wa kifedha kutoka nchi hadi kufikia viwango vya kutosha vya usaidizi kwa kuhama kituo hicho hadi mradi wa uwekezaji, kufunika gharama za uuzaji kutoka kwa vitabu vilivyotengenezwa kwa upande mmoja na kufikia faida kwa kuongeza ufanisi wa usambazaji na uuzaji kwa upande mwingine, na kutekeleza huduma za tafsiri kulipia taasisi na miili Kwa upande mwingine, kwa lengo la kutosheleza vyanzo vya kifedha zaidi, Kituo hiki kinapanga programu za mafunzo, semina za Ufasiri na kozi maalum kwa karo ndogo kwa kuratibu na taasisi, kampuni na vyama vya wafanyakazi kulingana na mahitaji yake, na hivyo pamoja na programu za mafunzo bure ambazo hutoa Kwa wanafunzi na watafiti kwa kushirikiana na kamati ya Ufasiri ya Baraza Kuu kwa Utamaduni, ukiongezea na ufasiri wa machapisho ya mashirika na taasisi za kimataifa , kama vitabu, ripoti, habari, karatasi za utafiti, makubaliano na mikataba.