Jenerali Mohamed Zaki, Waziri wa Ulinzi wa Misri
Imefasiriwa na / Fatma Mahmoud
Jenerali Muhammad Ahmed Zaki alizaliwa mnamo Januari 29, 1956. Alihitimu kutoka Kitivo cha Kijeshi mnamo Aprili mosi mwakani 1977 , katika kundi la wanajeshi la 69.
Vyeti vya kijeshi
- Shahada ya kwanza katika Sayansi za kijeshi.
- Alimaliza awamu zote za maandalizi ya askari wa kubeba silaha.
- Alimaliza awamu zote za kifundi za timu ya parachuti .
- Kozi kuu ya wanajeshi wa Vita.
- Kozi ya Chuo kikuu cha Vita.
- Kozi kuu ya viongozi wakubwa
- Vyeo muhimu vya uongozi mkuu.
Alijiunga katika kazi zote za uongozi katika vitengo vya timu ya parachuti hadi akateuliwa kuwa kiongozi wa vitengo vya timu ya parachuti.
- Kamanda wa Walinzi wa Jamhuri.
- Medali na Nishani
- Medali ya Juni 30, 2013.
-Medali ya Januari 25, 2011.
- Medali ya Mafunzo ya kiwango cha Kwanza.
- Medali ya jukumu la Kijeshi.
- Medali ya huduma ya muda mrefu na ya kuwa mfano mzuri.
- Medali ya Huduma bora.
Chanzo:
Tovuti ya Wizara ya Ulinzi ya Kimisri.