Siku ya Kimataifa ya Haki za Binadamu Barani Afrika
Imetafsiriwa na/ Enas Abdelbassit
Imehaririwa na/ Nourhan Khaled
Leo, dunia inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Haki za Binadamu za Kiafrika, siku hiyo ni siku maalumu kwa Waafrika, ambayo inaashiria haki za binadamu kwenye ulimwengu, usawa na uhuru kati ya watu wote, na ingawa tumekabiliwa na ukoloni na ukandamizaji wa kibaguzi, tunahitaji kufanya bidii zaidi kupata heshima kati ya watu.
Mratibu wa lugha ya kiswahili/ Tasneem Hamdy