Harakati ya kutofungamana upande wowote
Harakati ya kutofungamana kwa upande wowote ilianzishwa na nchi zilizohudhuria Kongamano la Bandung mwaka 1955, na harakati hiyo ni kama matokeo ya vita kati ya pande hizo mbili (upande wa magharibi ukiongozwa na Marekani, unaojumuisha NATO), (na kambi ya mashariki iliyoongozwa na Umoja wa Kisovyeti, inayojumuisha chama cha WARSO ) .
Rais Mmisri Gamal Abd El Nasser ni mmojawapo wa Waanzilishi wa Harakati hiyo , pamoja na Waziri Mkuu wa India Jawahar lal, Rais wa Yugoslavia Tito na Rais wa Indonesia Ahmed Sukarnoor, haraka hiyo inalenga kulinda Usalama na Amani ulimwenguni, kukomesha Ukoloni kikubwa , kufikia uadilifu kati ya nchi zote Kuheshimu wanachama wote, kukuza maslahi ya pamoja, na kuheshimu haki za binadamu. vilevile , Nchi nyingi kutoka mabara mbalimbali zilishiriki katika harakati hiyo , basi nchi zilizoshiriki zaidi katika bara la Afrika ni: Madagascar, Senegal, Malawi, Algeria, Angola, Misri, Seychelles, Sierra Leone, Eritrea, Somalia , Mauritania, Ethiopia, Afrika Kusini, Mauritius, Sudan, Morocco, Kenya, Tanzania, Burundi, Comoro, Zimbabwe, na nchi nyingine za Afrika.