Harakati ya Nasser kwa Vijana yaandaa mjadala wa jopo la kawaida wakati wa Siku ya vijana Duniani

Imetafsiriwa na: Marwa Gamal
Imehaririwa na:  Mervat Sakr
Mratibu wa Lugha ya Kiswahili: Mervat Sakr

Mnamo tarehe Jumamosi, 14/8/2021, Harakati ya Nasser kwa Vijana inaandaa kesho, saa sita jioni saa za Kairo, majadiliano ya jopo la kawaida kuhusu tukio la Siku ya vijana Duniani kwenye jukwaa la klabu, ambapo wafuatao watahutubia: Hamza Ahaddi, Mtafiti wa Moroko, mkufunzi wa mjadala, Mwanaharakati wa Tunisia, Siham Ferjani, Abdullah Samir Al-Saad, Mwanaharakati wa Haki za binadamu kutoka Ufalme wa Saudi Arabia, na Mhandisi Mohamed El-Fil, mratibu wa matawi ya Harakati ya Nasser kwa Vijana katika Amerika ya Kilatini, M. Shuli Avenue, mwanaharakati wa Palestina, Hawri Hashem Sayed, mojawapo wa waanzilishi na mkurugenzi wa Mamlaka Kuu ya Shiriki ya Kokar Msingi wa Maendeleo Endelevu na Kazi ya Kujitolea huko Moroko, Dkt. Youssef Shaaban, mhitimu wa mpango wa urais na mkurugenzi mtendaji kwa miradi miwili ya spaceak - Robotak.

Ili kujiunga nasi, Mnaweza kubonyeza kiungo hapa chini:-

https://www.clubhouse.com/club/global-citizen-talks