Siku ya Ardhi ya Palestina

Siku ya Ardhi ya Palestina

" Kama Jukumu kubwa sana la upinzani wa Kipalestina lilkuwa na litakuwa daima , hatua ya mabadaliko makubwa sana katika mapambano ya kiarabu. Upinzani wa Kipalestina ulifanya kazi kubwa ya pande  nyingi, ulinyanyua mwenge wa upinzani baada ya giza nene ambalo lilisambaa katika Ardhi yetu baada ya Kushindwa, na unaweka matumaini ukiwaka mioyoni mwa mamilioni ya watu kutoka Bahari hadi Ghuba,kisha umeeleza kwa ulimwengu mzima kwamba kuteka ardhi ni jambo tofauti sana na kuvunja uwezo na kuteka roho “

 Sehemu ya hotuba ya Rais Gamal Abdel Nasser katika kikao cha ufunguzi cha "Kikao cha Tano cha Kongamano la Kitaifa la Palestina huko Kairo" - Februari mosi, 1969.

Chanzo: 
Hoda Gamal Abdel Nasser, "Mkusanyiko Kamili wa Hotuba na Taarifa za Rais Gamal Abdel Nasser - Juzuu ya Pili", kipindi cha kuanzia 1967  hadi 1970, Maktaba ya Kiakademia, 2006.