Mkataba wa Vijana waafrika

Mkataba wa Vijana waafrika

Imefasiriwa na / Mervat Sakr

Umoja wa Afrika uliandaa mfumo wa kisiasa kama  Mkataba wa Vijana wa Afrika, uliopitishwa na Marais wa Nchi na Serikali katika Mkutano wa kilele uliofanyika huko Banjul, Gambia mnamo Julai 2006, kama hati ya kwanza ya kisheria inayofafanua majukumu ya nchi wanachama katika maendeleo ya vijana, na kuweka mfumo wa kimataifa unaoainisha tu haki, wajibu na uhuru wa vijana,pia kufungua njia ya maendeleo ya mipango ya kitaifa na mipango ya kimkakati ya kuiimarisha.