Eneo la Dini huko Misri ya kale

Eneo la Dini huko Misri ya kale
Eneo la Dini huko Misri ya kale
Eneo la Dini huko Misri ya kale
Eneo la Dini huko Misri ya kale
Eneo la Dini huko Misri ya kale
Eneo la Dini huko Misri ya kale
Eneo la Dini huko Misri ya kale
Eneo la Dini huko Misri ya kale

Mahali pa kukusanya dini tatu za mbinguni, Uislam, Ukristo na Uyahudi .

Eneo Iinajumuisha Msikiti wa Amr ibn Al-Aass, msikiti wa kwanza uliojengwa Misri na Afrika na msikiti wa nne uliojengwa katika Uislamu baada ya msikiti wa Medina, Basra na Kufa, karibu naye kuna kundi la makanisa na monasteri ambazo ziliheshimu uwepo wa Issa  (A.S ) (Yesu )  na Bibi Maria  (A.S) wakati wa safari yao kwa  Misri,Mbali na hili, tunaona hekalu la Kiyahudi, ambalo lilishuhudia ibada ya Mtume Musa (A.S ) .

Msikiti wa Amr ibn Al-Aass

Msikiti wa kwanza kujengwa barani Afrika.

Ulijengwa mjini Fustat, ulioanzishwa na Waislamu huko Misri baada ya ufunguzi. Iliitwa pia Msikiti wa Fath, Msikiti wa Kale na Taj Al-Jwama. Msikiti wa Amr Ibn Al-Aas iko upande wa mashariki wa Nile urefu wa 31 31 59 Mashariki, na kwa latitude 30 0 37 kaskazini.

Ilikuwa markazi ya serikali na kiini cha wito wa dini ya Kiislamu huko Misri, Amr ibn al-Aass  alijenga mskiti hiyo katika 20 H, sawa na 641 AD,kisha kujengwa jiji la Fustat, ambalo ni mji mkuu ya kwanza wa Misri, Amr ibn al-Aas alipochagua msimamo wa msikiti kukielekea  juu ya Mto wa Nile, na ngome ya Babiloni .

Eneo la msikiti wakati wa ujenzi lilikuwa ; upana dhiraa 50 na urefu dhiraa 30 na lilikuwa na milango sita, ilisalia hivyo mpaka 53 H / 672 AD ambapo kupanua  na kuongezeka eneo lake na Musallam bin Mukhalid Al Ansari na mkuu wa Misri na kujenga minara minne, kisha kuendelea na marekebisho na kupanua mikono ya wale waliomtawala Misri mpaka lilipofika eneo lake ni karibu ishirini na nne dhiraa ya usanifu. Sasa  eneo lake ni ; upana mita 120 na urefu mita 110.

Na kutumia matofali ya kujenga kuta za msikiti hakuwa na rangi, bua ya mitende yalitumiwa kwa nguzo na wamba kwa paa, msikiti una milango kadhaa, lakini hakuna mlango katika ukuta wa Qibla, Msikiti wa Amr ibn al-Aas uliojengwa kwa mtindo wa Msikiti wa Mtume Muhammad (S.W.A ) huko Madina kabla ya marekebisho yaliyofanyika; ; ambapo msikiti ulionyesha maadili ya Kiislam bila udohoudoho au uharibifu, lengo la ujenzi wake kulikuwa na nafasi ya kulinda wanaoSali kutoka  mambo mbalimbali kama hali ya hewa.  Mambo muhimu zaidi yaliyotendeka kwenye msikiti wa Amr ibn al-Aass utendaji wa wajibu wa kidini. Inashikiliwa na halmashauri za mahakama, bodi za hadithi. Ilifanyika vipindi  vya elimu, ambavyo vilifikia idadi vyao katika karne ya nne AH (karne ya kumi)  vipindi mia moja na kumi , na imeweka baadhi ya vipindi hivi kwa wanawake ,Na kuweka mabaraza haya na mhubiri  wa wakati wake Um  EL-Khair El- Hijaziyah. Wakati wa vita dhidi ya nchi za Kiislamu kutoka kampeni ya wafuasi wa salibi, hasa katika 564 H .Waziri Shawar aliogopa  kampeni ya wafuasi wa salibi dhidi ya mji wa Fustat, aliiweka moto kwani hakuwa na uwezo wa kulinda na kuchomwa mji na kuharibu Msikiti  wa Amr ibn al-Aass. Wakati Salah El-Diin alipounganisha Misri na nchi yake, aliamuru kujenga msikiti tena katika 568 H, na msikiti ulijengwa tena na mihrab kubwa, iliyopambwa kwa gololi na kuchonga na  miongoni mwa epigrafu Haya ya jina lake  (Salah El-Diin ). Mambo haya yalifanya Msikiti wa Amr ibn al-Aass chuo kikuu cha sayansi ya kale kabisa katika Misri ya Kiislamu, ambayo tayari ni Al-Azhar miaka 600 iliyopita.

Ngome ya Babylon

Sehemu hii iko katikati ya Misri kati ya kaskazini na kusini, kwa hivyo ilijengwa ili iwe mstari wa kwanza wa kulinda upande wa mashariki wa Misri. Pia kupitia kwake warumi waweze kudhibiti  mapinduzi yatakayofanywa dhidi yao kaskazini na kusini mwa Misri.

Ngome hiyo inaitwa ngome ya Babeli au Kasri ya kandili , Ndani ya ngome kuna idadai ya vitu vya kale vya Kikopti  miongoni mwake Makumbusho ya Kikopti, makanisa sita ya Kikopti na monasteri :

Kanisa la Bikiraji anayejulikana kwa kanisa Almoaalaqa  - Abu Sarja - sufii. Barbara - Marggarges - Kasrieh Rayhan – kisamkasa cha  Mary Girgis watawa wakike – kisamkasa cha Mar Girgis cha warumi  karibu na hekalu la Kiyahudi.

 

Kanisa la Almoaalaqa

Inajulikana kwa jina hilo kwa sababu imejengwa juu ya ngome ya Kirumi ya Babiloni, kwa urefu wa mita 13 juu ya uso wa dunia na hivyo inakuwa jengo la juu zaidi katika kanda.

Kanisa la Almoaalaqa, lililoanzshwa karne ya tano K.K, ni moja ya makanisa ya kale kabisa huko Misri na lilikuwa awali hekalu la firauni. Katika mwaka wa 80 K.K, mfalme wa Kirumi Trajan alianzisha ngome ya Kirumi ya Babiloni ili kutumia sehemu za hekalu kwa ajili ya ibada ya kipagani. Ulipoenea ukristo na Warumi walifuata dini mpya, hekalu la kipagani likawa kanisa kale zaidi la Kirumi huko Misri.

Moja ya vipengele vya kanisa ni kwamba ina ikoni 120 zilizogawanyiwa kwenye kuta zake, pia ndani yake  kuna kanisa lingine linalopandwa kwa ngazi ya mbao Kanisa la Mar Murkos.

 

Kanisa la Abu Surja

Eneo hili liliheshimiwa kwa sababu ya kuwepo nabii Yesu na mama yake wakati wa safari ya kukimbia kutokana na ukandamizaji wa Mfalme Herode Mfalme wa Wayahudi, walikuw ndani ya  pango takatifu kwenye kanisa. kwa hivyo wafuasi wa madhehebu yote ya Kikristo ulimwenguni wanakwenda huku.

Inasemekana kuwa tarehe ya kuanzishwa kanisa hilo ni tarehe yenywe ya kuanzisha  Kanisa Almoaalaqa na jina lake la awali (Sergio na Akhis) nao ni; askari wawili maarufu ambao walikufa Syria wakati wa utawala wa Mfalme Maximin.

Kanisa laSufii Barbara

Kanisa la sufii Barbara ni mojawapo ya makanisa mazuri ya Kikopti. liliundwa mwishoni mwa karne ya 14 na lilijulikana kwa jina la Bibi Barbara, ambaye alizaliwa mwanzoni mwa karne ya 3 B.K Panicomeda moja ya nchi za Mashariki katika familia tajiri na kipagani. Alifuata ukristo kwa sababu ya  mwanachuoni wa Misri Origen, na alikataa kuolewa na alijitoa maisha yake kwa dini aliyogeukia. Aliuawa wakati wa utawala wa Mfalme wa Roma Maximianus baada ya kumshutumu  baba yake kuwa anabudu  masanamu, huku alikasirika  na alimwua.