Wahitimu wa kundi la tatu kutoka Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa ni Balozi wa Yoga kwa Chuo Kikuu cha S-VYASA 

Imetafsiriwa na: Hussein Mohammed Saeed
Imehaririwa na:  Mervat Sakr
Mratibu wa Lugha ya Kiswahili: Mervat Sakr

Bi. Cyrine Ben Belkacem, Mhitimu wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa, alihitimu kutoka kundi la tatu (2022) la S-VYASA, mojawapo ya vyuo vikuu bora vya yoga nchini India, kama Balozi wa Yoga.

Mpango huu haukuwa tu nidhamu inayotokana na sayansi yenye nguvu iliyolenga kufikia maelewano kati ya mwanadamu na asili, lakini pia njia kamili ya afya na ustawi kugundua hisia ya kutengwa na asili ulimwenguni na kujigundua wenyewe.

Mpango huo una lengo la kueneza ufahamu na afya ambayo inaeneza mtazamo mzuri kwa maisha na jamii, na Chuo Kikuu cha S-VYASA kinatarajia kusaidia mabalozi wake kushirikiana na kuwasaidia kuongoza miradi yao wenyewe ili kueneza hekima duniani kote, pamoja na kuimarisha ujuzi wa kiufundi na ujasiriamali wa wagombea, na Baraza la Taifa la Sekta ya Ujuzi, Shirikisho la Taifa la Yoga na Baraza la Vyeti vya Yoga.

Ni vyema kutajwa kuwa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa ilikuja kama mojawapo ya utaratibu wa utendaji wa kuwasilisha uzoefu wa Misri katika kujenga taasisi za kitaifa, kama toleo la kwanza la hiyo ilizinduliwa mnamo tarehe Juni 2019 kuwa Udhamini wa Kiafrika Kiafrika unaoambatana na urais wa Misri wa Umoja wa Afrika, chini ya ufadhili ya Urais wa Baraza la Mawaziri, na kisha kupanua katika toleo lake la pili kujumuisha mabara matatu Afrika, Asia na Amerika ya Kilatini, chini ya kauli mbiu "Ushirikiano wa Kusini-Kusini" na alishinda Ufadhili wa Mheshimiwa Rais Abdel Fattah El-Sisi mnamo tarehe Juni 2021.