Msikiti wa Ahmed Ibn Tulun ni Msikiti wa Mabaki ya Tatu kwa Ukubwa Duniani

Msikiti wa Ahmed Ibn Tulun ni Msikiti wa Mabaki ya Tatu kwa Ukubwa Duniani
Msikiti wa Ahmed Ibn Tulun ni Msikiti wa Mabaki ya Tatu kwa Ukubwa Duniani
Msikiti wa Ahmed Ibn Tulun ni Msikiti wa Mabaki ya Tatu kwa Ukubwa Duniani
Msikiti wa Ahmed Ibn Tulun ni Msikiti wa Mabaki ya Tatu kwa Ukubwa Duniani
Msikiti wa Ahmed Ibn Tulun ni Msikiti wa Mabaki ya Tatu kwa Ukubwa Duniani
Msikiti wa Ahmed Ibn Tulun ni Msikiti wa Mabaki ya Tatu kwa Ukubwa Duniani
Msikiti wa Ahmed Ibn Tulun ni Msikiti wa Mabaki ya Tatu kwa Ukubwa Duniani
Msikiti wa Ahmed Ibn Tulun ni Msikiti wa Mabaki ya Tatu kwa Ukubwa Duniani
Msikiti wa Ahmed Ibn Tulun ni Msikiti wa Mabaki ya Tatu kwa Ukubwa Duniani
Msikiti wa Ahmed Ibn Tulun ni Msikiti wa Mabaki ya Tatu kwa Ukubwa Duniani
Msikiti wa Ahmed Ibn Tulun ni Msikiti wa Mabaki ya Tatu kwa Ukubwa Duniani
Msikiti wa Ahmed Ibn Tulun ni Msikiti wa Mabaki ya Tatu kwa Ukubwa Duniani
Msikiti wa Ahmed Ibn Tulun ni Msikiti wa Mabaki ya Tatu kwa Ukubwa Duniani
Msikiti wa Ahmed Ibn Tulun ni Msikiti wa Mabaki ya Tatu kwa Ukubwa Duniani
Msikiti wa Ahmed Ibn Tulun ni Msikiti wa Mabaki ya Tatu kwa Ukubwa Duniani
Msikiti wa Ahmed Ibn Tulun ni Msikiti wa Mabaki ya Tatu kwa Ukubwa Duniani

Imetafsiriwa na/ Ahmed Abdelftah
Imehaririwa na/ Fatma El-Sayed

Kwenye Kilele cha mlima wa Yashkur, katika eneo linalojulikana na jibu la ombi, inasemekana kuwa Mwenyezi Mungu alizungumzia Mtume wake Mussa, Rehema na amani ziwe juu yake na Mtume wetu, katika eneo la Saliba kati ya mraba wa Rumaila, kaskazini na mraba wa Bi. Zeinab, kusini. Mraba wa Rumaila sasa kwa wasioujua ni mraba uliopo chini ya Ngome ya mlima, unaojulikana kwa jina la mraba wa ngome. Mraba huo uliopo mbele ya msikiti na shule ya Sultan Hassan. Msikiti wa Ahmed Ibn Tulun ulijengwa mwaka wa 263/876, na ujenzi ulimaliza mwaka wa 265/878. Tarehe ya kumaliza kwa ujenzi ilitofautiana, lakini kinachothibitisha tarehe ya kumaliza kwa ujenzi ni maandishi ya ukumbusho yaliyochorwa kwa mwandiko wa Kikoufi katika bamba la marumaru kwenye mojawapo ya nguzo za msikiti zinazoelekea Qiblah.
Ndani yake: Mwanamfalme Abu Abbas Ahmad bin Tulun, mtumishi wa mtawala wa waumini, Mwenyezi Mungu amdumishe utukufu, heshima, na neema zake kamili huko mwisho na dunia, ameamuru kujengwa kwa msikiti huo wenye baraka na neema kutoka kwa mambo mema Mwenyezi Mungu amemneemesha na kuutolea kwa umma wa waislamu kama kazi inayotafuta radhi za Mwenyezi Mungu na mwisho, na kwa kupendelea yale yaliyo katika utakaso wa dini na ujuzi wa waumini kwa nia ya kujenga na fanyeni faradhi zake, na someni Kitabu chake, na mkumbukeni katika mwezi wa Ramadhani mwaka wa mia mbili sitini na tano.

Msikiti huo ni msikiti mkuu wa mji wa Al-Qataai ambao ni mji mkuu mpya, unaochukuliwa na Ahmed Ibn Tulun kama makao makuu ya utawala, jambo ambalo ni hatua nyingine ya kuthibitisha uhuru wa Ahmed Ibn Tulun huko Misri kutoka kwa Ukhalifa wa Abbasia. Mji huo ulikuwa unaitwa Al-Qataai; kwani uligawanywa katika vipande vilivyokaliwa na askari wa Ibn Tulun, na kila kipande kilijulikana kwa jina la aliyekaa humo; Kwa hiyo Nubia walikuwa na Jimbo, Warumi walikuwa na Jimbo, Farasheen walikuwa na Jimbo na kila aina ya wavulana walikuwa na Jimbo kilichojulikana nao. Jimbo hilo lilikuwa sawa kabisa na vitongoji vya Kairo wa fatekeen ambapo Kila kitongoji kilipewa jina la wakazi wake. Msikiti wa Ahmed Ibn Tulun ndio msikiti pekee nchini Misri ambao umebaki kama ulivyo na haujabadilika, kinyume na mabadiliko yaliyoshuhudiwa na Msikiti wa Amr Ibn Al-Aas na Msikiti wa Al-Azhar, aidha ni mabaki ya pekee ya mji wa Al-Qataai, ambao ulichomwa moto na watu wa Abbas baada ya kuanguka kwa utawala wa tulun mwaka wa 292, na kurudi kwa Misri katika utawala wa Abbas baada ya kushuhudia uhuru wa kujitawala katika zama za Tulun.

Pia iliharibiwa sana katika siku za shida ya Al-Mustansiriya wakati wa utawala wa Khalifa wa Fatimi Al-Mustansir. Hata hivyo, msikiti wa Tulun uliendelea kuwa mrefu. Haya ni kwa sababu imepokewa kutoka kwa Ibn Tulun kwamba alisema: “Nataka kujenga jengo ambalo Misri litaungua litaendelea kubaki, na likizama litaendelea kubaki.” Basi akaambiwa: “ itajengwa kwa chokaa, majivu, na matofali mekundu.”

Msikiti huo una uwanja wazi wa mraba, na kuba katikati, umezungukwa na majumba manne kwenye pande zake nne. Kila jumba lina majumba mengine mawili, wakati jumba la Qibla ndilo pekee linalojumuisha jumba tano ya ndani. Jumba nyingine tatu yaliyo nje ya msikiti huo zimezunguka pande zake tatu, ambayo yanajulikana kama ziyadaat.Msikiti huo una mihrab sita, tano kati yake si sahihi.Ama Mihrab ya asili imeharamishwa kuelekea kibla, na iko kusini mwa mihrab ya maswahaba uliopo katika Msikiti wa Amr ibn al-Aas; Ambapo Al-Maqrizi anasema katika kitabu cha khutba zake na usahihi wa kutaja ukhalifa na kazi: “Na hukukwenda kwenye paa la Msikiti wa Ibn Tulun, bali nililiona kaburi lake likiwa limeegemea madhabahu ya Amr Ibn. Msikiti wa Al-Aas upande wa kusini, na alifanya mkutano na kundi la Ibn Tulun chini ya mamlaka ya Qadi Qadi Izz al-Din Abd al-Aziz Ibn Jama'ah, na alikuwa wanachuoni wa Miqat walikuwepo, na wakatazama mihrab, na wakaafikiana kuwa haiko kwenye mstari wa kibla kutoka kusini, na imeandikwa kwa namna ya Ibn Jama'ah.
Ama mihrabu iliyosalia, ilijengwa baadae katika zama zilizofuata zama za Tulunid, mashuhuri zaidi kati yake ni: Mihrab ya Khalifa Fatimid Al-Mustansir, na ni wazi; kutokana na maandishi kwamba yule aliyeamuru ujenzi ulikuwa ni mvulana wa Al-Mustansir Al-Afdal bin Badr Al-Jamali katika mwaka wa 487 AH, na mihrab ya Sultan Husam al-Din Lajin, aliyeijenga mwaka wa 696 Hijiria; Jina na vyeo vyake vimeandikwa kwenye mihrab.
Ama kuba katikati ya ua, chini yake palikuwa na beseni ya marumaru yenye chemchemi ya maji katikati, ambayo ilitumika kutawadha baadaye. Kuba hili liliungua katika mwaka wa 376 Hijiria na hakuna kilichobakia chake.Katika mwaka wa 385 AH, Khalifa wa Fatimi Al-Aziz Billah aliamuru kujengwa kuba jingine badala ya lile lililoungua, lakini maandishi Maandishi ndani ya kuba yanathibitisha kwamba lilijengwa mara ya tatu wakati wa utawala wa Sultan Husam al-Din Lajin katika zama za Mamluk katika mwaka wa 696 Hijria.Hivyo, tunaona kwamba Msikiti wa Tulunid ulikuwa mada ya maslahi kwa Mafatimiy na Mamluk
Msikiti wa Ahmed Ibn Tulun unachukuliwa kuwa msikiti wa tatu kwa ukubwa wa kiakiolojia duniani baada ya misikiti ya Samarra na Abu Delf nchini Iraq. Msikiti huo unafuata mpangilio wa kitamaduni wa misikiti ya Kiislamu, ambayo inategemea uwepo wa mahakama ya wazi ya kati iliyozungukwa na dari nne.Msikiti huo uliiga Msikiti Mkuu wa Samarra nchini Iraq katika matumizi ya matofali katika ujenzi, pamoja na minara ya Malawi. ambayo ndiyo karibu pekee inayopatikana Misri, na vipanuzi vya nje ya msikiti pia vipo.Katika Msikiti wa Samarra, nyongeza hizi zinafanana na barabara ya duara inayozunguka Msikiti wa Amr ibn al-Aas kutoka pande zote. Msikiti wa Tulunid nao umezungushiwa kuta, na kuta hizi zina milango.Kila mlango unalingana na mlango mmoja wa msikiti huo.Ilikadiriwa kuwa milango thelathini na tatu.
Lakini milango hii iliyoambatanishwa na kuta ilikuwa imefungwa kabisa kutoka nje na imefungwa, na Nasir Khusraw aliona kuta hizi na milango katika safari yake; Ambapo alitaja kuwa hajaona chochote kinachomzidi kwa uzuri na uzuri isipokuwa katika Aamed na Mayyafariqin. Ilijengwa kwenye eneo kubwa linalokadiriwa kuwa ekari sita na nusu, hivyo Msikiti wa Tulunid unachukuliwa kuwa miongoni mwa misikiti mikubwa zaidi mjini Cairo. Inaonekana kwamba eneo kubwa la msikiti huo lilikuwa mojawapo ya sababu zilizozuia sala kuswaliwa hapo tangu nyakati za mwisho za kihistoria hadi wakati wetu
Wakati wa utawala wa Salah al-Din al-Ayyubi, msikiti ulibadilishwa kuwa makazi ambapo wageni wa Morocco walikaa wakati wa Hajj. Tunamkuta Ibn Jubair katika safari yake akituandikia jambo hili huku akizungumzia kuhusu Msikiti wa Ibn Tulun. Akisema: “Ni miongoni mwa misikiti ya kale, maridadi katika uundaji wake, na imejengwa vizuri. riziki kila mwezi.” Katika mwaka wa 662 AH, wakati wa utawala wa al-Zahir Baibars Msikiti uligeuzwa kuwa ghala la kuhifadhia nafaka na kuoka, na Sultan al-Zahir Baybars akaamuru ardab mia moja zigawiwe kutoka kwenye kasri za kifalme kwa mabwana wa pembe kila siku baada ya kutengeneza mkate katika Msikiti wa Ibn Tulun. Maqrizi aliyataja hayo katika kitabu chake Al-Suluk to Know the Countries of Kings, na wakati wa utawala wa Muhammad Bey Abi Al-Dahab ulibadilishwa, msikiti ukageuzwa kuwa karakana ya kutengeneza mikanda ya sufu, kisha ukageuzwa kuwa makazi. kwa wagonjwa na wazee, mikononi mwa Klut Bey, ambayo inaonyesha ukiukaji mwingi ambao mnara huu wa kale wa Kiislamu ulishuhudia.

Mratibu wa lugha ya kiswahili/ Tasneem Hamdy