Kumbukumbu ya Mauaji ya Sabra na Shatila

Kumbukumbu ya Mauaji ya Sabra na Shatila

Imetafsiriwa na/ Gergas Nagy
Imehaririwa na/ Fatma El-Sayed

Kambi za wakimbizi wa Kipalestina za Sabra na Shatila nchini Lebanon ni moja ya mauaji ya kikatili zaidi katika historia ya binadamu, ambapo jeshi la uvamizi halikupoteza hata risasi moja; kwa sababu lilifanywa kwa silaha nyeupe. 
Idadi ya vifo ilifikia takriban mashahidi 4000 wakiwemo wanaume, watoto, wanawake na masheikh wa kiraia wasio na ulinzi. 
Roho zao ziwe na amani zote.

Mratibu wa lugha ya kiswahili/ Tasneem Hamdy