Hotuba ya Rais Gamal AbdelNasser Kwenye Sherehe ya Chama cha Watumiaji wa Usafiri wa Pamoja katika Ufunguzi wa Jengo jipya mnamo mwaka wa 1954

Hotuba ya Rais Gamal AbdelNasser Kwenye Sherehe ya Chama cha Watumiaji wa Usafiri wa Pamoja katika Ufunguzi wa Jengo jipya mnamo mwaka wa 1954

Imetafsiriwa na/ Mariam Islam 
Imehaririwa na/ Nourhan Khaled

Ewe Wafanyakazi  ndugu zangu: 

Ninawasalimia na kuwapongeza kwa chama hiki, na natakia heri kwa kazi hiyo iliyo hodari na inayonufaisha na inayoendeleza kwa ajili ya maslahi ya umma kwa nchi na wananchi.

Sikilizeni ndugu zangu.. tunataka kusikia na kuzungumza maneno yenye maana na yanayoeleweka.. tuache kushangilia kwa muda, na kutumia fursa hii ili kufahamu mambo tulidanganywa naye kabla.

Kwa kweli tunapoona hali yenu sasa, kila mtu haikubali na hali hiyo, lakini lazima kufahamu na kujua mambo na sababu gani yanayotupelekea kwa hali hiyo? Tukifahamu mambo haya, na tukijua sababu hizo, tunaweza kuzishinda, na tunaweza katika wakati huo huo kujinga nchi yenye nguvu na ya kupa mfanyakazi haki yale, na ya kupata mkulima haki yake, na ya kupata mwananchi haki yake, na wote nchini hiyo wanapata uhuru, uadilifu na usawa. Tukifahamu mambo haya na tukiyajua, na tukijitahidi kutofanya mambo haya tena kama tuliyofanya hapo awali, na pia tukijaribu tusidanganywe kama tulidanganywa hapo awali, na tukijaribu tusipotoshe kama tulipotoshwa zamani.. tukijitahidi kwa mambo haya yote tunaweza, akitaka mwanyezi Mungu, kuendeleza nchi, nchi inaundwa na wananchi wanaofanyakazi, tunaweza kuiendeleza, na kujisikia majivuno, heshima, nguvu, na kujisikia haki ya kuishi na ya usawa, pamoja na uadilifu, sababu hizo zote zilipatikana nchini yetu kwa miaka yote iliyopita

Sikieni ndugu zangu:

Tuliishi muda mrefu na miaka mengi chini ya utawala wa ukoloni, na chini ya utawala wa wafuasi wa ukoloni. Kupitia ukoloni na wasaidizi wa ukoloni waliku wakijitahidi kwa namna zote na kwa njia zote Kuenea ujinga, na walikuwa wakijitahidi kuweka mipaka mifumo ya  elimu, na katika wakati huo huo wanaeneza shaka.. kila mtu ana shaka na ndugu yake na nchi yake na kutilia shaka kwa uwezo wa nchi yake, wanajitahidi mara nyingi kugawanya.. kugawanya wananchi, na kugawanya wananchi kwa madhehebu na vyama, ili kuwaweza kutawala, na ili kuweza kudhibiti, na ili kuweza kunyonya.

Wakati wote, walikuwa wakitumia baadhi ya wasaliti kutoka kwa wamisri ili kuwapotosha, na kuwadanganya, na ili kuwadanganya katika wakati huohuo kwa ahadi za uwongo na matumaini yanayong‘aa, lakini walikuwa kwa hiyo wanathibitisha mkoloni. Walikuwa wakijua kwa hakika kwamba ikiwa mtu ana afya.. ana afya ya mwili, na ana afya ya akili, na ikiwa mtu ana uhakikisho katika maisha yake lazima atafikiria kuhusu uhuru wake na uhuru wa nchi yake, na lazima kufikiri kwa hakika kuzuia wanyonyaji kumnyonya, na kuzuia madhalimu kumdhulumu. Kwa hiyo  wananitahidi wakati wote kufanya kila mtu kufikiria juu ya nafsi yake, hii inapelekea kuenea umaskini nchini, nchi yetu inajaa na umaskini ili kufanya wananchi wote maskini, na mtu maskini asiyeweza kujikimu na daima hushugulika naye na hutafuta kwa riziki wa watoto wake, sitaweza kufikiria kuhusu huru wala utulivu, wala majivuno, wala heshima. 

Nguzo hizo ndizo zinazo baadhi ya watu wamisri waliokuwa wasaliti wanasaidia hukusu uwepo wake, nguzo hizo zinazosaidia kudhibiti kwa utawala. Msimamo mkali huo wakati wote ulikuwa ukijitahidi kufanya raia wasihisi kwa majivuno, ili kuweza kujiendelea na kujiimarisha, na ukoloni kila wakati anasaidia wenye msimamo mkali kwa njia hii, ili kujiendele na kujiimarisha. Na msimamo mkali na ukoloni wanasaidiana kwa njia kadhaa.. walianza baada ya mapinduzi lililopita kudanganya wananchi kwa katiba, na demokrasia, na uhuru, Wamisri wanajihisia kwamba wanaanza ahadi mpya kwa uhuru na uadilifu na usawa, lakini je, wenye msimamo mkali wamedanganywa? Au hata utawala umedanganywa? Au hata wamerudi nyuma? Hapana ndugu zangu.. wameendelea katika sera yao na njia yao, na wametumia uhuru na sheria, na demokrasia, na wamesaidiwa na wasaliti wamisri , baadhi ya wasaliti wachache waliochagua kuinua kiwango chao cha maisha  badala ya kuinua kiwango cha wananchi, na waliochagua kupata nyara nyingi, hawa waliosaidia utawala.. hawa wenye msimamo uliotufikia kwa hali yetu wakati wa mapinduzi yalizukwa..

Mapinduzi yalipoanza ndugu zangu.. yalipoanza mapinduzi hiyo, kila mmoja wenu alikuwa akilalamika, na kila mtu katika nchi hii ana maumivu, na wote walikuwa wakihisia kwamba tutakwisha. Kila mtu anahisia kwa umaskini, na kila mtu anajihisi kwa mnyonge, na kila mtu anajihisi kwamba haifanywi kitu chochote kupambana na umaskini, na wala hata kupambana na unyonyaji, na wala kupambana na udhalimu. Hii ilikuwa njia iliyokubaliana naye utawala na wenye msimamo mkali, na hii pia ni njia inayowawezesha kuchukua nchi hii, na inayowawezesha kudhibiti kwa wananchi, na inayowawezesha wao tu  kuwa wana majivuno, na wenye mamlaka, na wana heshima, na wananchi kuwa watu wanaodhalilishwa, Kila mmoja wao anashugulika na nafsi yake, na kila mtu wao anashugulika na hatima yake.

Wakati mapinduzi yalipoanza, je, wenye msimamo mkali wamerudi nyuma? Au hata wamekata tamaa? Msimamo mkali uliopotosha mabinduzi ya 19, na ukoloni uliopotosha mapinduzi ya 19? Baado hii ni msimamo mkali yenyewe uliotaka kushawishi mapinduzi hiyo, na bado hii ni ukoloni unaotaka kupotosha mapinduzi hii pia.


Ukoloni uliotudanganya baada ya mabinduzi ya 19, na ulitudanganya kwa jina la demokrasia na uhuru, na waliotuingiza kwenye udikteta wa bunge na udikteta wa chama haturidi nyuma, lakini msimamo mkali uliofaidika na ulionyonya, na uliotawala kwa uhai wa watu na kwa nafsi yao, na uliotawala kwa utajiri, hatarudi nyuma, lakini utajitahidi wakati wote kwa majina mengi, kwa jina lolote, kwa jina la uhuru,na kwa jina la demokrasia, na kwa jina la msimamo mkali pia..

Ninataka kuwasema, ndugu zangu, kuwa mapinduzi yalizukwa 23 Julai, Mfalme alifukuzwa 26 Julai, katika wiki la kwanza mnamo mwezi wa Agosti, watu walianza kwa jina la ukomunisti kupambana na mabinduzi hili, hakuna mtu yoyote nchini anayejua nani waliofanya mapinduzi hilo, lakini wakomunist au wanaochagua ukomunisti kama jina kwao nchini, walitoa taarifa mwanzoni mwa Agosti, na wamesema: mapinduzi ni mapinduzi yanayosaidia ukoloni, na mapinduzi yanayojitahidi kudhibiti ukoloni.


Bila shaka.. haipaswi kusubiri hadi kujua nani waliyofanya mapinduzi hilo ili kutawala? Lakini madalili yote yanabainisha kwamba watu wanaodai ukomunisti, na wanaochagua kauli mbiu za kuvutia na matumaini matamu, na wanajaribu kuwadanganya raia kwa jina la ukomunisti, na kuwapata matumaini ya uwongo kwa jina la ukomunisti.. hawa ni wasaidizi wakubwa kwa msimamo mkali nchini hiyo. Kila madalili na mambo yanayowahusu yote ulithibitisha kwamba watu hawa ni msingi wa uzayuni. Uzayuni yanayojitahidi kueneza propaganda za kikomunisti, na hii inayojitahidi kufanya mashirika ya kikomunisti katika nchi hii, na hiyo wanaochukua jina la ukomunisti kama bendera kwake, aliye haina mtu anayeifahamu, na wanaoweza kudanganya baadhi ya wananchi kwamba lengo lake ni uhuru, au hata ni demokrasia, kwa jina hilo jipya, na kwa jina hilo linalovutia na linalong’aa, na kupitia propaganda hii wanaweza kutudanganya tena, kama walitudanganya baada ya mapinduzi ya 19 kwa jina la uhuru na demokrasia.

Leo wanadanganya baadhi ya watu kwa jina la ukomunisti, lakini je tunaweza kuamini kwamba ukomunisti uliohakikishwa bila shaka kwani ni sehemu ya uzayuni?! Na mashirika makubwa ya ukomunisti nchini yanaendeshwa na mtu wa kizayuni Jina lake ”Koriel”, huyu anayefadhili na pia alikuwa mtu tajiri zaidi nchini hii, huyo aliyekuwa akifadhili ukomunisti. Lakini waliokuwa wanakutana na raia, na kuwasema kuwa wanajitahidi kuwakomboa. Sinaweza kufahamu kamwe vipi mtu kizayuni anaweza kujaribu au hata ana, kwa asilimia moja, nia ya kuikomboa nchi hii?! Lakini hili , ndugu zangu, ni njia mpya linalofuatiliwa sasa kudanganya, na kupotosha, na kudandanya watu wajenga, na kudanganya watu rahisi. Wanatafuta kwa watu na kuwapata nafasi ya kuvuta na malengu mazuri, na baadaye kuwatawala kwa uzayuni wa kimataifa, uzayuni unaotarajiwa kutawala kuanzia kwa israel hadi Bonde la Nile, na pia ili kutawala kwa sehemu kutoka Iraq na hata kutawala kwa sehemu kwa Ufalme wa Saudi Arabia.

Huu ni uzayuni unaojitahidi nchini hiyo kudanganya wananchi fulani, na kuwapotosha jina la ukomunisti. wanakupuni mamemo mazuri na kuwasema: ukomunisti utajitahidi kusawazisha, na utajitahidi kuinua kiwango cha maisha ya mfanyakazi, na ukomunisti utajitahidi kuinua kiwango cha mkulima, na ukomunisti utajitahidi kuporesha hali ya maskini, kwa maneno haya mazuri na kwa maneno haya yanayong’aa kuna uwezekano kumdanganywa mtu, na kumpotoshwa, lakini ndugu zangu.. hii ni udanganya, na hii ni upotoshaji, na hii  ni uongo na kashfa, na hii ni njia mpya, na hii ni namna mpya unaofuatiliwa sasa, baada ya kufuata njia ya demokrasia, na njia ya uhuru baada ya mapinduzi ya 19, na wanaweza kushindwa mapinduzi  ya 19.

Lakini watu wanaopotoshwa na wanaodangnywa hapo awali hawapotoshwi tena, na hawadanganywi tena, na kila mtu, ndugu zangu, anaita ukomunisti, na anajitahidi kueneza ukomunisti,utampata yupo katika makao ya starehe na mazuri, na anazungumzea kwa maneno mazuri na matamu. Msingi wa ukomunisti nchini hiyo ni mtu asili yake ni mwenyekiti, na wanamita ”Al-padha Al-Ahmer”, anayeitwa Albendari na anayejifanya mwenyekiti, anayeishi katika jengo la Al-shams, na anaishi maisha ya raha na ya  starehe, na baadaye anazungumza juu ya ukomunisti, ukomunisti unaongoza nchi, na demokrasia ya umma.. maneno mazuri, maneno yanayong’aa, maneno matamu.  Ninamkutana naye kabla, wakati wa kuandaa vyama, na akifanya kipindi cha televisheni kinacho na maneno mazuri na maneno matamu, ambapo anakifanya kujiandaa chama. Na baadaye nilimtembelea..  nilimtembelea kwake na nilimkutana naye, na nilimsema : maneno unayoyasema ni mazuri sana.. kinua kiwango cha mfanyakazi, na kuinua kiwango cha mkulima, na kuinua kiwango cha mwananchi, na kupata makazi ..ovyo.. lakini mnisema: vipi utafanya hivyo? Ninakuja kufahamu kwake, na ninakuja kunifundisha na nielewe. Nina nafasi ya kufanya maneno yake hiyo. Lakini vipi nitafanya maneno haya? Ninasikia maneno mengi kama hiyo, na tunadanganywa kwa maneno mengi matamu kama hiyo kwa mara mengine, unanisema kwamba vitu hivyo vyote vinaandikwa karatasini, tunasikia maneno mengi kama hiyo kabla, leo ninataka kunifahamisha vipi tunaweza kufanya maneno haya? Napa ndugu zangu sisikie kutoka kwake ila maneno yale yale: “kamwe.. tunajitahidi kuinua kiwango cha mkulima, na tunajitahidi kuinua kiwango cha mfanyakazi“.


Ili kuinua kiwango cha mkulima, ndugu zangu, na ili kuinua kiwango cha mfanyakazi lazima kuongeza utajiri wa nchi hiyo, ambapo pesa zinazo kila mtu anazingatiwa kama utajiri wa nchi hii unayogawanya kwetu wote, sinawezi kuongeza mapato zinazopewa kwa mtu ila kupitia kuongeza utajiri wa nchi hii, ambapo sinawezi kuongeza mapato ya mwananchi ila kupitia kuongeza nafasi za kazi nchini, na kuongeza kazi ya kazi ya kilimo, na kazi ya rasnia, mtu yoyote anye sema kitu tofauti anawadanganya, na anawapotosha, na hii inamaisha kuwa anakusudia kitu kimoja, ambapo wanaodai kwa ukomunsti hawa wanakikusudia, amapo ni sokomoko.. Sokomoko yanayosababisha kuendesha kwa hatima mbaya kabisa, ambapo haina nchi yoyote inayojengwa na kwa sokomoko na fujo.. kamwe. Kila nchi kutoka nchi za ulimwengu imejingwa kwa kazi na kwa jasho na kwa juhudi. Na kila mtu lazima kuamini kwa nchi yake na kila mtu lazima kufanya juhudi na kutereremka jasho lake, ili kuongeza utajiri wa nchi. Utajiri wa nchi unapozidi, ndivyo mapato ya mtu atazidi, utajiri wa nchi unapozidi, ndivyo idadi ya wafanyakazi wasio na ajira utapunguza, lakini hakuna nchi inayojingwa kwa udanganyifu, na hakuna nchi inayojingwa na upotoshaji, hii ni maneno yanayolazima kila mtu kuyajua, na kuyafahamu.


Tunasikia, ndugu zangu, maneno mengi kuhusu Hifadhi ya Aswan, na umeme wa Hifadhi ya Aswan, kutoa chuma kutoka kwa Hifadhi ya Aswan, ninasikia maneno haya kutoka kipindi cha uchanga hadi kufikia sekondari. Lakini sera yao ulikuwa kuinua kiwango cha wafanyakazi? Na kuinua kiwango cha wakulima? Na bila shaka wanajua kwamba wakiinua kiwango cha mfanyakazi na wakiinua kiwango cha mkulima.. na wakimfahamu mkulima hawawezi tena kamwe kumtumia, na pia hawawezi kutawala kwa riziki yake na hawawezi kuchukua juhudi yake, kwa hiyo walikuwa wakijitahidi daima kutoenea kilimo, na walikuwa wakijitahidi daima kutoongeza viwanda, ili kupunguza kiwango, ambapo kiwango kikiinua.. kikiongeza, na mfanyakazi akifahamu na mkulima akifahamu hawawezi kumdanganya, na hawawazi kumtumia. hii ni sera yanayoyafuata kwa kwanza, na walikuwa wakifyata kwa maneno matamu na mazuri.

Tukitaka kujinga nchi yetu, na tukitaka wanawetu, ndugu zangu, kupata maisha ya majivuno na ya heshima, lazima kujitahudi kuwamba kusidanganywe na kusipotoshwe kwa jina yoyote, na wala kwa jina la demokrasia, na wala uchama, na wala  maneno mazuri wanaoyasema, utakutwa demokrasia, na utakutwa uhuru, lakini lazima kwa kwanza kukombolewa kutoka kwa unyonyaji na lazima kupata uhuru kwa kwanza kutoka kwa udhalimu na kutoka kwa utumwa.

Sinawezi kufahamu vipi utakutwa uhuru na mimi si huru  kwenye suala la kupata kazi na pesa na riziki? Na sina uhuru wa kupata nafadi ya kazi ili kufanya? Kazi inatawaliwa na baadhi ya watu, na ardhi inatawaliwa na baadhi ya watu, na watu wanaotawala kwa ardhi na wanaotawala kwa kazi, wao ni wanaodaiwa kwa uhuru.. siwezi kufahamu ikiwa hawa ni watu wenyewe wanaoita kwa uhuru, kwa nini hawakombolewi mtu? Na hawampati uhuru wa kupata riziki yake? Na hawampati uhuru wa kuishi? Na hawampati uhuru kutoka unyonyaji wao waliokuwa wakifanya? Hii ni uhuru yanaoita kwa mwaka 20..

Tukitaka leo uhuru wa kwelikweli na uhuru wa hakika, lazima kupata uhuru kutoka kwa unyonyaji, na kupata uhuru kwa kazi, kazi ambayo mfanyakazi anafanya kazi ndani yake, na ardhi ambayo mkulima anayafanya kazi, kutoka kwa utawala, utawala wa Wanyonyaji, utawala wa wenyeji. Hii ni uhuru wa kweli, na hii ni uhuru wanaojitahidi kupata, hii ni uhuru yanayoyaanza mapinduzi .


Ikiwa kila mtu anasikia uhuru, hii itamaisha kwamba nchi atapata uhuru. Lazima kupata uhuru kutoka watu waliotutawala kabla, na amabao athari zao baado ipo, na wanaotulenda kwa njia ngumu hiyo, na waliokuwa wakituendesha kwa hatima mbaya yaliyokuwa yakitokea kabla ya kuanzia mapinduzi hayo. Hii ni uhuru, na baadaye tunapaswa tupate waliotuwakilisha.. kutoka nani? Kutoka wananchi wanaosikia kwa raia, na wanaohisi kwa matumaini ya watu, na wanaoumia kama raia. Hawa ni wanaoendesha wanamchi kwa uhuru wao, na hawa ni wanaolenda uhuru, na haipaswi kutaja watu awali kamwe.. wanaotutawala, na wanaotunyoya na wanaotudhulumu, kwani watu hawa wakiishi nchini hii au wakichukua haki yoyote ya sera nchi hiyo, hii itapelekea kurudi, watatupotosha tena, na watatudanganya kwa maneno mazuri, na kwa maneno yanayong’aa, na kwa maneno matamu.


Hii ni somo, ndugu zangu, wanaolazima kufahamu. Kila mtu wenu wanapaswa kufahamu kwamba uhuru wake utapata kupitia kufanya kazi, na kazi tu, kwani uhuru unategemea kwa riziki, na riziki inategemea kwa kazi, na kazi inahitaji kwa kila mtu kujitahidi na kufanya kazi, kila mtu anapaswa kufanya kazi ili kuinua kiwango cha maisha yake, na kila mtu anapaswa katufua kazi Kwa wenzetu wafanyakazi wasio na ajira kupata nafasi ya kazi, na wanahitaji mwanzoni kujihaidi ili kuinua kiwango cha viwanda. Na ili kuinuakiwango cha viwanda, na kuimarisha nchi hii lazima kuelekea nchi kwa hali isiyobadilika, Na lazima uwe baina ya mfanyakazi na mwajiri ushirikiano kamili, kwani mwajiri ni mtu anayetathmini viwanda. mfanyakazi anashughulika naye, na anashirikiana naye ili kuanzisha viwanda hivyo. na katika wakahi huo huo lazima kuongeza maeneo ya kulima, na lazima na lazima kuwezesha mkulima, na kumpata fursa na mwongozo, ili kupitia kuongeza mazao yake, kwani ongezeko la mazao ya mkulima ni ongezeko kwa utajiri nchini hiyo.

Hii ni namna unaowezesha mapinduzi kufanywa, na hii ni njia ya mapinduzi, na inaendelea katika njia hii bila udanganifu wala upotoshaji, na bila maneno mazuri. Hatuwapi ahadi ya kuvutia, na sitawapi maneno ovyo, lakini tunawapa kazi na tunataka kwa kila mtu kufahamu na kujua kwa makini.. badala ya kupa fursa kwa mtu yoyote kumdanganya, na hampi mtu yeyote nafasi ya kumpotosha, na katika wakati uleule tunataka kwa kila mtu wetu kufanya kazi, na kuchukulia kazi yake, na kazi yake kamilifu, na kazi yake mrefu, na kazi yake ngumu ni msingi ya nchi na kwa ajili yake na kwa ajili ya ndugu zake na kwa ajili ya wana wake.

Hii ni njia wanaopaswa kuchukua, na hii ni njia zinazo lazima kutafuta kwa miaka mengi na sio kurudi tena, na kukamili njia yetu kwa mwisho, ili kufanya nchi yenye nguvu, ili kuweza kujinga Misri yenye majivuno na heshima, sio kwa maneno tu.. bali kupitia kitendo na kufanya kazi, na ili kuweza kukibuni nchi yenye kiburi na heshima kwa wanawetu, haina mtu anayeweza kuwanyonya ndani yake, na haina mtu anayeweza kuwadhulumu ndani yake, kila mtu kutoka wao kukuzwa kwa kufanya kazi kwa bidi, na kupata riziki, na kuweza kufanya kazi, na haihisi kwa maumivu ya ulimwengu kama tunayasikia, na kama wazazi wenu wanayasikia zamani.

Wassalamu Alaikum wa rahmatuallah.


Mratibu wa lugha ya kiswahili/ Tasneem Hamdy